Nimepata jamani!!!!!

Wakuchakachua hongera sana, sasa nadhani watu wataamini.....
The GEEK kaza kamba!!!
 
wajemeni mie nimempata ila kaniponyoka,mkimuona mwambieni namtafuta!:A S-confused1::disapointed::embarrassed1::becky::glasses-nerdy::embarrassed::rant::rant::rant:

Kuna jamaa anaitwa Teamo kasema nikusalimie sana, au ndo wewe shemeji yetu?
 
hahaha, ndoa za siku hizi kiboko! mnaongea dakika mbili, then accepted! hata muda wa kumuomba Mungu nadhani hukupata. but all the best mai dia

Kwani we judy ukipata mume anayetaka kukuoa unaongea nae muda gani.....more that a day or what
Na ni nini has mnachokiongea ......kama wote mnaelewa majukumu yenu na mmekomaa kabisa kuingia kwenye ndoa nini cha kusuburia...
sawa huwezi kufanya jambo bila maombi unless ur nt the beliver!(am a beliver) sooo what next nimsome wa nini at the time nitakaa nae na nitamfahamu vizuri.....by the way hayo mambo ya kusomana hayo ndipo watu wanapopata muda wa kuangalia interest zao na kusahau mapenzi y a mungu....
nimesema i will love this men ever as i know nimempata toka kwa mungu mwaminifu.....ful stop :shut-mouth:
 
Nadhani hutamfanya kama id yako! Hongera ila kwa simu ni ngumu kushangilia usijekuta ni jenzio au hakidhi vigezo!
 
Kwani we judy ukipata mume anayetaka kukuoa unaongea nae muda gani.....more that a day or what
Na ni nini has mnachokiongea ......kama wote mnaelewa majukumu yenu na mmekomaa kabisa kuingia kwenye ndoa nini cha kusuburia...
sawa huwezi kufanya jambo bila maombi unless ur nt the beliver!(am a beliver) sooo what next nimsome wa nini at the time nitakaa nae na nitamfahamu vizuri.....by the way hayo mambo ya kusomana hayo ndipo watu wanapopata muda wa kuangalia interest zao na kusahau mapenzi y a mungu....
nimesema i will love this men ever as i know nimempata toka kwa mungu mwaminifu.....ful stop :shut-mouth:

Achana nao
Wengine ni wivu tu kuona umevuna katika muda mfupi tu!! hawaamini...
Lakini ukiwapa kadi ya mwaliko watakubali..... :) :) :)

Just love that MEN!!!!
 
i mean it dear,
Sidhan kama decision will take more than a day!
anaoneka kuwa responsible Men na kama nilivyosema all factors will reman constant na sitoangalia sura!
bali uhalisia wa maisha.........

Mi siamini.Tuambie basi ni nani huyo uliyempata...
 
nimesema i will love this men ever as i know nimempata toka kwa mungu mwaminifu.....ful stop :shut-mouth:

Hongera dada huu mchakato ulikuwa wazi kweli?
Mungu akubariki kwakweli, napenda kuamini Mungu ndiye aliye kufunua kwa huyo mme.
 
Hongera dada

Mwambie akutungie shairi utumwagie hapa au haimo kwenye 'wajibu' wa wana ndoa?
 
i mean it dear,
Sidhan kama decision will take more than a day!
anaoneka kuwa responsible Men na kama nilivyosema all factors will reman constant na sitoangalia sura!
bali uhalisia wa maisha.........

Kwani we judy ukipata mume anayetaka kukuoa unaongea nae muda gani.....more that a day or what
Na ni nini has mnachokiongea ......kama wote mnaelewa majukumu yenu na mmekomaa kabisa kuingia kwenye ndoa nini cha kusuburia...
sawa huwezi kufanya jambo bila maombi unless ur nt the beliver!(am a beliver) sooo what next nimsome wa nini at the time nitakaa nae na nitamfahamu vizuri.....by the way hayo mambo ya kusomana hayo ndipo watu wanapopata muda wa kuangalia interest zao na kusahau mapenzi y a mungu....
nimesema i will love this men ever as i know nimempata toka kwa mungu mwaminifu.....ful stop :shut-mouth:

Achana nao
Wengine ni wivu tu kuona umevuna katika muda mfupi tu!! hawaamini...
Lakini ukiwapa kadi ya mwaliko watakubali..... :) :) :)

Just love that MEN!!!!

Nikiziunganisha hizo red (Watu wanajua kusoma katikati ya mistari jamani lol)

Huyo MEN ndio Id ya huyo mme mtarajiwa au unamaanisha kuna njemba zaidi ya moja zimeingia mkataba wa ndoa.

Nakipenda sana Kiswahili, lugha ya Taifa langu.
 
Ama kweli hawakumuamini mpaka alipowaonyesha mikono yake kuwa ni yeye amafufuka kwe.......................
Jamani ths is nt a business, ok tel me now wewe kama hujaoa au hujaolewa utajua ni wapi waweza kutana na mwenza wako???
belive me nimempenda kijana he sent to me his picture i send to him my picture simple like that we agreed echa other,
wapo waliosoma miaka sita na wakaishia kuachana tu .......god is good bana

so umependa sauti ya simu na picha lakini sio mtu. i wonder utapendaje mtu amabaye hujamuona, na sasa hapo utakuwa unapenda nini hasa? una uhakika gani kwamba hiyo pic ni yake? labda nitahitaji kurudi darasani kujifunza upya masuala ya mapenzi.
 
Hapo kwa nyie wataalamu wa saikolojia mnatambua kuwa huyu ametamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom