Nimepata hitaji la moyo

Kama umeweza kutana nae mtandaoni na ukamzukia huko moshi, unajua ni wangapi, amechat nao humu na wako pia wamemzukia
Umepoteza nauli kufuata papuchino mzee.
Anway tunasubiri nanyi 'Cc' zenu kama za smart na Mahounda
Hawezi fuatwa na watu 100 akakubaliana na wote huyu atakuwa na nia na akamfuata mpaka huko
yawezekana ndiyo maana kamkubalia
 
Hahahahahahaha just hahahahahaha 22years???? ....mwanamke wako ana mtindio wa ubongo labda
 
Age mate nakuona nakuonaaaaa nakuonaaaaaa nakuonaaa Age mate ngoja na mm nmalizie hizi module za semester ya pili hii then ntaliunga tena humu humu jf aseeeeee ...
 
Kwa bahat nzuri bado tunasoma wote mim na yeye
Wewe ni mwanaume mjinga mno, uko shule unakosaje mwanamke huko?? Udomo zege wako kuwaface madem ndiyo changamoto yako mpk uone mhenga anafaa eti mapenzi hayana umri nani kakudanganya..??
 
Wewe ni mwanaume mjinga mno, uko shule unakosaje mwanamke huko?? Udomo zege wako kuwaface madem ndiyo changamoto yako mpk uone mhenga anafaa eti mapenzi hayana umri nani kakudanganya..??
Hayo ni maneno tu! ila ndio huyu amenifaa hata ukichonga earphone zpo maskion mwangu aina ulazima kuwa na mwanamke shule,
mpaka sasa huyu nilie mpata sikumbuki nili saidiwa na nani kumtongoza alaf mim ni fundi sana kuliko wewe maana kumshawishi mwanamke asie kujua mpaka akubali kuonana nawewe sio kazi rahisi ila mwanamke anae kujua ni cmpo kuzungumza nae kwa7b anakujua vilivyo.
ila unakosea kuniita mjinga alaf domo zege mana asilimia kubwa ya watu GENIUS ni madomo zege waoga kwa wanawake.
 
Kuiona papuchi kwa mara ya kwanza tu tayari mbiombio unaleta mrejesho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom