Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 29,091
- 47,173
Aisee anisamehe bureUsimbishie na kumtuhumu mwenzako kusema uongo kabla haujahoji Details zaidi. Ni vipi kama hizo korosho labda ameagiziwa na Amita bachan, Sharukhan, au mitsumi chakaraboti kwaajiri ya kutafuna nyumbani.
Inawezekana pia wanataka special za kutoka bongo
Si unajua vitu vyetu ni adimu sana na vingi tunavyo sisi tu