Nimepata Baby Boy

Nimepata Baby Boy

Congrats to ur family,kwa wale ambao siwenzetu NSALA inamaana ( mjanja)! Nyanda NSALA Huyu kweli kweli ni wadigitali.
 
Congratulations mkuu, may God bless him to grow to love and serve the lord
 
Hongera bwana mkubwa mtoto ana afya huyo mpe pole mama hapo shughuli kaifanya
 
Hongera bwana mkubwa.... Umeshiriki Vema katika kutii ile kauli ya MUNGU ''Endeni muijaze dunia'' katika kizazi hiki cha Digital
 
Congrats to ur family,kwa wale ambao siwenzetu NSALA inamaana ( mjanja)! Nyanda NSALA Huyu kweli kweli ni wadigitali.

Nampa hongera! Ila kwenye jina!nina uwalakini! Kwani Majina nayo huwa yanaumba tabia!, mfano, SHIDA,TABU,MAWAZO,MASHAKA,MAJUTO,,
 
Back
Top Bottom