Nimepata addiction

Fanya mazoezi ya viungo. Cheza mpira kama unaweza, fanya gym au tembea hata km 5 kama una muda. Ni ngumu kuanza lakini utazoea
Kutembea napenda sana na ndio Zoezi langu kubwa sio km 5 tu natembea umbali mrefu hata km 10 mpaka 15 kwenda na kurudi ni zoezi tosha kwangu
 
Kisukari kikikukamata vizuri utaacha tu bila kupenda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…