Nimepata addiction

Changanya na mo energy ile kubwa....
 
Addiction and Craving ni kawaida kwa carbonated drinks, sababu ni Sugar, Caffeine na Carbonation.

Ndio maana utasikia mtu kila akila lazima ashushie pepsi au Coca-Cola baridi. 😁
 
Killing yourself slowly
 
Ukielewa kwamba unachofanya ni hatari kwa afya yako, lazima utachukua hatua stahiki.

Soma kiwango cha sukari iliyopo kwenye hicho kinywaji, jiulize kama mwili wako unakihitaji au ni kuuendekeza?
Nimeanza kupunguza najitahidi kupunguza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…