AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 10,595
- 17,135
Jiandae jwa sukariWakuu,
Sijui natokaje kwenye hii addiction ila alietengeneza hiki kitu hakika ni fundi na amenikamata na sijui ametumia formula gani. Kila nikitumia hua kuna maswaali najiuliza huyu ametumia formula gani?
Haipiti siku namaliza chupa hata 3 mpaka 4.
Addiction.
View attachment 3572328
Eeh sugar nini?Jiandae jwa sukari
Nimesema addiction sio tangazoLipia kwanza tangazo mkuu
Halafu niliweka mara kwanza wakafuta mods wakiamka wanakuja kufutaBila shaka wewe maji hunywi au unabeep na kupita na misukari ya orenji.
Pili...ratiba yako imekaa kizembe kama sikosei.Halafu niliweka mara kwanza wakafuta mods wakiamka wanakuja kufuta
Sawa mkuu issue sio sukari hujaelewa kuna ladha fulani hivi ya tofauti hususani ukinywa ya baaridi ile inayokaribia kuganda ili kukata hangoverDuuh! Pole sana Mkuu jaribu kwa kupunguza idadi, mf kama unakunywa nne kwa siku unaanza kupunguza mdogo mdogo mpaka ufikie moja kwa siku ukiweza kufikia hiyo stage utakuwa upo pazuri.
Na inakubidi upambane haswa maana hizo sukari plus Chemical za humo inakuwa hatari na nusu
Kizembe vipi tena mkuu?Pili...ratiba yako imekaa kizembe kama sikosei.
Nimekuelewa vizuri sana Mkuu, anywaySawa mkuu issue sio sukari hujaelewa kuna ladha fulani hivi ya tofauti hususani ukinywa ya baaridi ile inayokaribia kuganda ili kukata hangover
Angalia kwanza Screen time yako ...Angalia unakaa eneo moja kwa muda gani na huwa unafanya nini ?Kizembe vipi tena mkuu?
But good advice nitaifanyia kazi kidogo kidogoNimekuelewa vizuri sana Mkuu, anyway
Itakuwa vizuriBut good advice nitaifanyia kazi kidogo kidogo
Mkuu,Angalia kwanza Screen time yako ...Angalia unakaa eneo moja kwa muda gani na huwa unafanya nini ?
Kwakweli huwa nashangaa pia, inaeza kupita hata mwezi au zaidi sijatumia soda au juice za kiwandaniHivi vitu situmii kabisa huwa napiga kahawa tu. Ila nadhani train your mind to stop using those things and each time tengeneza picha unapewa sumu polepole.
Kweli mkuu ila kuna kitu kimoja wewe unapenda kahawa ila mimi kahawa siiwezi sio kahawa tu hata chai siiwezi labda uniwekee mchaichai ila sio majani ya chai siwezi kabisa huwezi amini, hio ninapenda ladha [flavour] sensation of taste fulani hivi imewekwa humo kwenye hio chupa hio ndio inaniita sio kingine kuna kiladha fulani hivi cha tofauti humo, sasa nikianza kunywa sometimes nafikiria sijui nini yaan ningekua hata na pipa limejaa tu hio mimi kazi yangu ni kuchota na kunywa tu, feelingsHivi vitu situmii kabisa huwa napiga kahawa tu. Ila nadhani train your mind to stop using those things and each time tengeneza picha unapewa sumu polepole.