Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,417
- 7,609
Mimi napenda mlimaniHakuna raha kama kuishi hizo area....kuna kijiji kiko Moro vijijini unaweza dhani ni mbinguni..kijani throughout the year
2.kuna kijiji ninaenda sana hakuna suala la magari wala mikelele...yaan kumepoa..hakuna heka heka kbs sijui huyu apite na gari utamani hakuna...yaan maisha rahisiii...unaingia ziwani unaomba samaki unaenda pika unalala unaamka fresh kbs..i like that too!.all the best!