Nimeota ndoto moja

mimi naona ni ndoto nzuri tu .. sijui kwa nini siogopi kufa.. i wish angeota kuwa mimi ndio nimesogea

Kifo hakina shida kabisa..
Ni kulala tu au ni seme mapumziko
ya milele..

na kila mtu alie hai sasa hawezi
kusema uchungu au utamu wa kifo
sababu hakuna alie enda na kurudi..

ila kitu kibaya kuhusu kifo ni
uliowaacha behind ....
wao ndo wata miss utu wako...

na kwako Ivuga (magari yako mazuri )mmmhhh

ila naomba sana tena sana isiwe wewe
au mtu yeyeto humu ndani..

iwe ndoto mabua tuuuu...

Mbona siku ile ulivyoshikwa na jinamizi ulikuwa unapiga kelele "Mama nakufa"
ni kweli ..ila nina hiyo n i hulka ya biinadamu yoyote.. ndio maana unaambiwa kunajamaa alienda kujinyonga na kamba alivyopanda juu ya mti ili kufunga kamba ya kujinyongea akakutana na nyoka face to face.. akakimbia mbio hadi kwake na huo ndio ukawa mwisho wa kujinyonga kwake

hahahahahahah lohhhh

sijui kwa nini watu wengi

wanaume na wanawake pia huita

"MAMA" kwenye shida yeyote ile...

Sijui kwanini asiposema "Mama nakufa" atasema "Yesu nakufa" sijawahi kusikia mtu anasema "Baba nakufa" lol!

ni kweli ..ila nina hiyo n i hulka ya biinadamu yoyote.. ndio maana unaambiwa kunajamaa alienda kujinyonga na kamba alivyopanda juu ya mti ili kufunga kamba ya kujinyongea akakutana na nyoka face to face.. akakimbia mbio hadi kwake na huo ndio ukawa mwisho wa kujinyonga kwake

Hahaha alikuwa hayuko tayari kufa huyu

Kifo hakina shida kabisa..
Ni kulala tu au ni seme mapumziko
ya milele..

na kila mtu alie hai sasa hawezi
kusema uchungu au utamu wa kifo
sababu hakuna alie enda na kurudi..

ila kitu kibaya kuhusu kifo ni
uliowaacha behind ....
wao ndo wata miss utu wako...

na kwako Ivuga (magari yako mazuri )mmmhhh

ila naomba sana tena sana isiwe wewe
au mtu yeyeto humu ndani..

iwe ndoto mabua tuuuu...
AFro d mimi ndugu zangu wanaweza kulia hata kwa mwaka mzima japo watakuwa wamebaki na mali etc . lakini litakuwa pigo kwao.. but mimi huwa sijali kifo ninachojali ni kuangalia kuwa naishije na watu ili huko niendako kuwe ni sehemu nuri .. mama yangu alishawahi kuniambia(aliqoute mstari wa kwenye bible) kuwa ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kwenda mbinguni.. nikamwambia mama kuwa tembea uone.. ukienda nchi za watu kwa hao wamissionaries waliotuletea biblia na kuwaona na kuona mali zao hutathubutu kuniambia hivi kwani utacoclude kabisa kuwa wazung wote hawataenda mbinguni na wasomali na wasudani wa darfuri ndio wataingia mbinguni.. hapa naomba kiranga asije hapa kwani ata pinga kabisa existence of God...

Sijui kwanini asiposema "Mama nakufa" atasema "Yesu nakufa" sijawahi kusikia mtu anasema "Baba nakufa" lol!
huwezi kusema baba kwani mama yako ndio anayemjua baba yako tu believe me..ndio maana wengi hawapendi kuita ita baba unaweza ukawa unaita ita baba kumbe sio baba yako wa damu

Kifo hakina shida kabisa..
Ni kulala tu au ni seme mapumziko
ya milele..

na kila mtu alie hai sasa hawezi
kusema uchungu au utamu wa kifo
sababu hakuna alie enda na kurudi..

ila kitu kibaya kuhusu kifo ni
uliowaacha behind ....
wao ndo wata miss utu wako...

na kwako Ivuga (magari yako mazuri )mmmhhh

ila naomba sana tena sana isiwe wewe

au mtu yeyeto humu ndani..

iwe ndoto mabua tuuuu...
Utalia ee x3 usimwonee...mwana mama yeye..(simba wa nyika haoo)..ila usije lilia magari mashemeji tutakukolimba bureee!

Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu

pepo tokaaaaaaa :bange: zinakusumbua ndo maana unaota mandoto wa kibangebange tu

Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu

hata mi niliota hivyo hivyo, tena niliota kwenu kuna watu wengi, wanawake walikuwa wanalia hasahasa mama yako, wanaume walikuwa wakichimba kaburi afu we ulikuwa umezungushiwa Sanda.

Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
Wewe popo mweusi na ndoto zako mshindwe kabisaa...kifo ni dude la kutisha kabisa na limewatiisha wababe wengi duniani, hapo ndio breki yetu..lakini neno la Mungu linatufariji - nijapopita chini ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa..

Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu

...dahh, ungeipost hii kule juu kwenye jukwaa la Siasa bana, huku unatuletea Nuksi kwa sie wenye matumaini ya maisha.
Dahh,

Back
Top Bottom