Nimeota ndoto moja

Kufa kwani wamekufa wangapi hadi utangaze kifo chako, we kufa tutakutana mbele bila shida yoyote. Msalimie Mungu kama utaelekea huko
 
Hv mtu alifa humu tutajuaje jamani?je kuna rambi rambi za wana Jf au?
 
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
<br />
<br />
Ni kawaida kabisa kuota hiyo ndoto sababu hiyo ndoto uliota ucku ukiwa umelala badala kurukaruka kama popo wenzako! Ninavyofaham mimi popo wote ikishafika saa moja jion wanatoka kwenda kujitafutia riziki, wanaobaki wote wanakuwa wahanga wa ndoto kama zako. Eti Popo mweusi!!
 
Back
Top Bottom