Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
naona ndoto yako imetimia japo ni nje ya muda ulioutaja....mbunge wa kilombero amefungwa jela kwa muda wa miez 6...baaada ya kubainika ya kua alifanya fujo kwny uchaguzi wa meya. ..
 
naona ndoto yako imetimia japo ni nje ya muda ulioutaja....mbunge wa kilombero amefungwa jela kwa muda wa miez 6...baaada ya kubainika ya kua alifanya fujo kwny uchaguzi wa meya. ..

Hapo alisema hivyo ili kuzuga tu kwamba mwezi ujao ila alijuwa kila kitu kinachoendelea huyo binadamu sisi hatari sanaaa aiseee sijawahi kuonaaaa khaaaa naipenda sana JF maana kuna kila aina ya information humu ndani
 
Tusidanganyane apa hakuna kuota wala nini...wewe ulijua mipango mliyopanga kumfanyia jamaa sababu mlianza kusingizia mmeshinda, mkurugenzi aliyetoa ushahid mahakamani kuwa mlishindwa mkamtumbua...badae hiyo ndo plan B yenu...Mungu anawaona..what goes around...
 
Hakuna cha ndoto wala nini wewe ni miongoni mwa wapanga mipango ya kudhurumu haki za wapinzani na ulijua mpango huu mapema kabla ya hukumu maana mliupanga na kuujadili.

Walipanga na kujadili mapema sanaaaa hii issue na wanajuwa wenyewe vizuri sana tu hawa jamaaa....maana hii information waliipata wapi eti ameotaaa anaumwaaa kweli huyu jamaaa
 
Daaaaa JF sio mchezo aiseeee hehehehe watu humu ndani wapo wa kila aina maana mhhh hatari......
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Mkuu Mzushi, kwanza Hongera, pili mimi nakuamini, na tatu nabii huwa hakubaliki nyumbani.

Kitu kikubwa kuhusu wewe ni you have the powers!

Kwa msio jua, ndoto za kweli huwa zipo na zinaitwa lucid dreams.

Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo?

"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani!. -Kila Mtu Anazo!

Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali?

Mambo mengi ninayo yawaza au kuyaota huwa yanatokea kweli tangu Nina mika 12 na sasa Nina mika 18.

Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

Paskali
 
Ndoto imekuwa kweli Mkuu.

Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
 
Hebu leo ota kuhusu wapi fursa ya pesa ilipo inaelekea ndoto zako ni dhahabu kwa sasa
 
Back
Top Bottom