Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo | Page 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzushi, Jan 8, 2017.

 1. mzushi

  mzushi JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 1,985
  Likes Received: 917
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
   
 2. Ki Mun

  Ki Mun JF-Expert Member

  #141
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 6, 2014
  Messages: 2,167
  Likes Received: 1,708
  Trophy Points: 280
  Bado tu hatuamini kuwa tunatawaliwa na dikteta?
   
 3. Kkimondoa

  Kkimondoa JF-Expert Member

  #142
  Jan 11, 2017
  Joined: May 31, 2014
  Messages: 2,870
  Likes Received: 2,194
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha ndoto wala nini wewe ni miongoni mwa wapanga mipango ya kudhurumu haki za wapinzani na ulijua mpango huu mapema kabla ya hukumu maana mliupanga na kuujadili.
   
 4. JipuKubwa

  JipuKubwa JF-Expert Member

  #143
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 1, 2013
  Messages: 1,516
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280
  Haikuwa ndoto bali wewe ndiye Hakimu wa kesi ya "Jua kali".
   
 5. Econometrician

  Econometrician JF-Expert Member

  #144
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 25, 2013
  Messages: 6,624
  Likes Received: 4,472
  Trophy Points: 280
  mara zote mvua husimama kama baraka-basi ndoto yako bado haijafikia wakati wake
   
 6. G

  Granta JF-Expert Member

  #145
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 21, 2014
  Messages: 3,040
  Likes Received: 2,192
  Trophy Points: 280
  Sio lazima kuwa TISS kujua hilo, kwanza sio lazima tiss wawe na hiyo info. Wazee wa baraza, hakimu, mawakili wa Pande zote hujua uelekeo wa kesi. Vile vile ndugu na marafiki ya niliowataja huwa na taarifa kwa kuambiwa na hao niliowataja.
   
 7. B

  Babati JF-Expert Member

  #146
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 13,314
  Likes Received: 6,797
  Trophy Points: 280
  Mkuu utakamatwa.
   
 8. B

  Babati JF-Expert Member

  #147
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 13,314
  Likes Received: 6,797
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #148
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,542
  Trophy Points: 280
  Interesting...
   
 10. U

  Umenitoa Gizani JF-Expert Member

  #149
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 3, 2016
  Messages: 390
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kama hukumu zinafungia maandazi hatari
   
 11. M

  MOI JOHN JF-Expert Member

  #150
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 511
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 60
  Kuhukumiwa kwenda jela
   
 12. M

  MOI JOHN JF-Expert Member

  #151
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 511
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 60
  Mimi sioti ila nabashiri pale kaskazi mtu atanyeshewa.
   
 13. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #152
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 5,554
  Likes Received: 4,026
  Trophy Points: 280
  Mhh, hizi ndoto na hatimaye zinakuwa kweli zinaleta shida sana kwa baadhi ya watu. Jamani tupunguze kuota!!!!??
   
 14. kibwenzi

  kibwenzi JF-Expert Member

  #153
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 1,650
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Tunakutilia mashaka .
   
 15. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #154
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 18,339
  Likes Received: 49,364
  Trophy Points: 280
  Hukumu za kupanga hizi, mbona hujawahi kuleta ndoto zingine hapa?
   
 16. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #155
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 18,339
  Likes Received: 49,364
  Trophy Points: 280
  M ccm huyu
   
 17. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #156
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 776
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Usitake kutufanya Watanzania wote Wajinga na Wapumbavu. Hakuna cha ndoto wala nini. Hapa ni au wewe upo Jikoni au umepakuliwa ikiwa jikoni ya Moto Moto. Ulitakiwa uwe wa Kwanza kuisaidia Polisi na Ndoto yako kutimia.
   
 18. M

  Msemaji_ JF-Expert Member

  #157
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 22, 2016
  Messages: 272
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  sio bure kuna kitu hapa
   
 19. Tee Bag

  Tee Bag JF-Expert Member

  #158
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 21, 2013
  Messages: 5,565
  Likes Received: 679
  Trophy Points: 280
  Na akipata maagizo kutoka juu
   
 20. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #159
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 8,974
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Una uhakika na unacho kinena?
   
 21. clet 8

  clet 8 JF-Expert Member

  #160
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Ndoto yako nzuri!

  Na leo ota nyingine.
   
Loading...