Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

NDOTO NI KITU CHA KAWAIDA KWA NINI IKUSUMBUE KICHWANI MWAKO.NASHAURI UFUNGE SIKU SABA.UTAPATA JIBU KAMA HUKUPATA NI NDOTO ISIYO NA MASHIKO.
 
kumbe mchezo ulikuwa unafahamika ndo mana ndungai anapeta kwa zile vurugu zake kumbe yule ccm huyu chadema
 
Punguza mihemko bwana mkubwa hivi wewe waniona Mimi mwehu sina uhusiano Na yeyote nasisitiza hiyo ni ndoto Na itabaki kuwa ndoto .hivi kwa nini watanzania mnakuwa kama Tomaso
Wewe wasema ndugu!! Mimi nasema tu kama tumeanza kupata waota ndoto kama enzi za wakina Daniel na Yusufu na ikawa basi unabii wako mkali.

Lakini kama ulipata hint na ndiyo ukatoa hii mada basi take care tracing au tracking yake inaweza ikawaponza walikuwa hii hint.

Nadhani kwa ndoto zako unaweza hata ukaota kujua matukio makubwa ya nchi hii.hongera sana
 
Sina hints wala connection Na mtu yeyote bado narudia tena kwa msisitizo ilikuwa ni ndoto tu sioni cha ajabu hapo kwangu haiwezi kuwa Mara ya kwanza wala ya mwisho kuota
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Huyu asije kuwa ndiye kaka mkubwa pale jengo jeupe.
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
We ndiye hakimu nini
 
Sina hints wala connection Na mtu yeyote bado narudia tena kwa msisitizo ilikuwa ni ndoto tu sioni cha ajabu hapo kwangu haiwezi kuwa Mara ya kwanza wala ya mwisho kuota
Basi kwa ushauri tu maana una uhakika na ndoto zake ni vizuri ukawa unatoa muelekeo wa matukio ya nchi ili watu wajiandae kisaikolojia humu JF au hata ktk media zingine.ushauri tu.
 
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
Duuh....imetokea wiki hii..
 
Back
Top Bottom