Nimeona reply ya rafiki mmoja kuhusu JF

Nimeona reply ya rafiki mmoja kuhusu JF

Huyu nilimpiga kubaya na sasa kaanza kutema cheche..

It was just a matter of time, wewe hata ukunga siamini kama unao..

Huyu anafanya kazi monchwari huyu... 😂 😂

Sio kwa kulewa kila muda ili kujaribu kufuta kumbukumbu.

We huoni siku hizi ndo kawehuka kabisa?

Aseme ukweli tu ya kuwa mbege inampeleka kubaya, si ndio min -me
Radiotherapy ndo zao ili kutoa mionzi kifuani
 
Nursing officer na degree yako ukiwekwa TAMISEMI ya hovyo utajuta kubababake.

Ila ukinasa pale Mhimbili, BMC, BMH lazima ujiulize kwanini wengine hatujasomea unesi wakati wewe unakula maisha
Kwa nini bwashee , sema wengine wajifunze😅
 
Kwa nini bwashee , sema wengine wajifunze😅
Ah 😂 we mwenye uzi toa ushuhuda kama umewahi kukaa TAMISEMI ila kama haujawahi ngoja aje mwingine.

TAMISEMI ya hovyo diwani ana nguvu kuliko DMO na mkurugenzi
 
Ah 😂 we mwenye uzi toa ushuhuda kama umewahi kukaa TAMISEMI ila kama haujawahi ngoja aje mwingine.

TAMISEMI ya hovyo diwani ana nguvu kuliko DMO na mkurugenzi
Bwashee , tamisemi mbona kama tupo vizuri 😆😆😆
 
Back
Top Bottom