Nimeona movies nyingi, hadi sasa sijapata kuona movie ambayo villain (jambazi kuu) ali-shine kuliko sterling kama alivyofanya joker katika dark knight

Kabisa tena jamaa alikuwa na point za maana, kuwa duniani kila mtu ana ubaya na anachagua kusaidia watu anaowapenda kwanza
 
Hukuangalia Avengers End game mkuu, kulikuwa na mwendelezo wa kuwarejesha wote waliopotea na thanos akafa mwishoni
Wewe unasema kweli?...Dah ngoja nikaisake mkuu..basi nikajua ndiyo ilishia pale... Daah! Tatizo nipo mbwinde huku hata hiyo niliigumia tu mahala nikaipenda ndipo nikaifuatilia mwanzo mwisho na nikajua imeishia pale.
 
Kabisa tena jamaa alikuwa na point za maana, kuwa duniani kila mtu ana ubaya na anachagua kusaidia watu anaowapenda kwanza
💯

Kuna wakati yule mzee wa batman anamuambia batman kwamba kuna watu ambao hawapo kwa ajili ya pesa au starehe, wanataka tu kuiona dunia ikiungua.

Alikuwa anamzungumzia joker, .maana hata batman alshindwa kumuelewa kabisa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…