Nimeona katika ulimwengu wa Roho

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Wakuu mjumbe hauawi, naleta ujumbe Kama nilivyouona ktk ulimwengu wa Roho
1.Jiwe hataachia madaraka hata muda ukiisha
2.CHADEMA itachukua dola baada ya jiwe kutolewa balu na nguvu ya umma
3.Watu wengi hasa wanaharakati na wanasiasa watapotea huu mwaka
4.Kigogo2014 ataponza wengi mno miongoni mwa MATAGA
5.CHADEMA ikichukua dola Kigogo 2014 ataibuka wote wamjue na hakika hawataamini
 
Kwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
 
Sasa Mkuu Pascal Mayalla hivi umewezaje kutambua tofauti ya Roho na liroho?
 
Kwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
Ina maana maneno ya mtoa mada ni sawa na kupiga ramli chonganishi?
 
Kwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
Nami naona haya majibu uliyotoa kwa ulimwengu wangu wa roho nimeona ni LIROHO tuu limekutuma, alichosema mleta mada ni kutoka roho wa kweli
 
Wakuu mjumbe hauawi, naleta ujumbe Kama nilivyouona ktk ulimwengu wa Roho
1.Jiwe hataachia madaraka hata muda ukiisha
2.CHADEMA itachukua dola baada ya jiwe kutolewa balu na nguvu ya umma
3.Watu wengi hasa wanaharakati na wanasiasa watapotea huu mwaka
4.Kigogo2014 ataponza wengi mno miongoni mwa MATAGA
5.CHADEMA ikichukua dola Kigogo 2014 ataibuka wote wamjue na hakika hawataamini
ulimwengu wa roho
 
Huu ni ulimwengu wa uhuru wa kujieleza (freedom of expression) sio wa Roho. Ulimwengu wa roho huambatana na imani ya kidini, kama wewe ni wa imani tofauti na dini yangu basi ulimwengu wako wa roho si kitu bali ujinga.
 
Ulimwengu wa roho si wa hovyohovyo kama uzanivyo mkuu,

Wewe ni mnywa pombe, mzinzi, muongo, mwizi, msengenyaji, unawazia watu mabaya, eti uoneshwe vitu ktk ulimwengu wa roho,

Kwa vile ulimwengu wa roho upo wa Aina mbili, hapo Sawa, Endelea Kuota mkuu
 
Amini amini nawambieni tazama itakapofika siku za mwisho kutatokea manabii wa uongo, watakao wambieni tazama Chadema naiona inatawala,
Muonapo hivyo tambueni ule mwisho wa ccm bado..
 
Kwenye ulimwengu wa roho, kuna Roho, na liroho au maroho!. Roho ni moja tuu, ni omnipotent, omniscience na omnipresence, ni liroho ni mengi,
The dividing line between Roho na liroho is very thin, ili uweze kutofautisha Roho na liroho, ni lazima uwe umejaaliwa neema ya utambuzi, niki alichokisema huyu mleta mada ni liroho tuu!, nothing will happen!.
P
Umemaiiiiindi sio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe hana akili (kubwa) ya kung'ang'ania kwenye hicho kiti ni mwepesi sana na hata akijidanganya kufanya hivyo ni rahisi mno kumtoa.
 
Mbona kuna wauaji hukimbilia makanisani wakijifanya pia ni wa kiroho? Mbona hao huwasemi? Au kwakuwa jamaa kakugusa? Maana wakisifiwa upande wenu mnafurahi sana kiasi cha kutokuona uovu wao. Mmekuwa vipofu na wajinga, kila kitu kusufia tu na kutukuza kuliko hata mnavyomtukuza Mungu

Back
Top Bottom