paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,500
Na Kwa kweli umenipatia mkuu,Mbona kuna wauaji hukimbilia makanisani wakijifanya pia ni wa kiroho? Mbona hao huwasemi? Au kwakuwa jamaa kakugusa? Maana wakisifiwa upande wenu mnafurahi sana kiasi cha kutokuona uovu wao. Mmekuwa vipofu na wajinga, kila kitu kusufia tu na kutukuza kuliko hata mnavyomtukuza Mungu
Kwa maana siwezi kuponda bila sababu na pia siwezi kusifia bila sababu, nimeamua kuwa huru zaidi sifungwi na Mila Mimi
Shauri yenu mnaofungwa na Mila na desturi
Na mada iliyopo ni maono ya huyo mwenzako sio hao unaotajataja, hapo unakuwa ni Nje ya mada, na istoshe mchango wangu haumbagui yeyote mwenye vitu vya kijinga kuvilinganisha na vitu visivyolinganishwa, haijalishi ni nani