Nimeona chupi ya ajabu!

Nimeona chupi ya ajabu!

Mwana mke mwenye makalio makubwa (yasiwe kama ugonjwa) anavutia kimuonekano kuliko mwanamke mwembamba. Akatizapo mwanamke mwenye ---- lililo jaa vizuri sawa na mwili wa muhusika kila kidume lazima kigeuke kumuangalia haijalishi ni mavazi gani aliyo vaa hata avae na kujitanda khanga huku kichwani kabeba gunia la mkaa na jasho likiwa lina mmwagika bado vidume tuta pagawa,wapo watakao jikwaa na wapo watakao vunja shingo kwa kumsororea bila kusahau sisi wengine wenye ugonjwa na viumbe dizine hiyo tutajawa na mate midomoni kama tuna mimba changa. lakini kimbau mbau (maumbo ya kimisi) hata avae chupi tu hato angaisha roho za watu wengi, ispokua macho yameumbwa bila pazia kwahiyo watu hawataacha kumuangalia na ukizingatia kavaa chupi.

kwa hiyo inakuwa ni fahari ya macho tu basi? au unavyoangalia unawaza nini hasa
 
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town

Hahaha...mwingine alivyopigwa pasi mhindi au mchina kasingiziwe,,yaani nyuma ni flat kama ubao wa matangazo.
 
Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi!
Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa akichukua chupi ambazo zimetuna nyuma dozen nyingi tu !
Nikahoji hii ndio nini !....nikaambiwa naishi wapi !
Hizo eti nichupi za kumfanya mwanamke aonekana anamakalio makubwa!zimewekwa kasponji fulani hivi
sio hiyo tu pia kuna vikaptula vya kumfanya mtu aonekane ana hips za haja!
Ama kweli hii ni dunia ya urembo
Hukuona zile boxer za wanaume zilizituna mbele ili ionyeshe mtu ana kitendea kikubwa?
 
Kumbe hi mizigo tunayokatia shingo ni mavitambaa...wametuweza kweli wengine tunaopenda mizigo mikubwa....
 
Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi!
Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa akichukua chupi ambazo zimetuna nyuma dozen nyingi tu !
Nikahoji hii ndio nini !....nikaambiwa naishi wapi !
Hizo eti nichupi za kumfanya mwanamke aonekana anamakalio makubwa!zimewekwa kasponji fulani hivi
sio hiyo tu pia kuna vikaptula vya kumfanya mtu aonekane ana hips za haja!
Ama kweli hii ni dunia ya urembo

Sasa akiingia ndani halafu akavua nguo na kugundua kuwa kapigwa pasi inakuwaje? Sijui mtu anaficha umbo lake ili iweje!!
 
Hahahaha jamani mnatusimanga na sony wega zetu!
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
 
Hamshangai almost kila mtu ana hips na wo.wo.wo siku hizi? Wanaume si mnavutiwa na outward appearance, nasi tunajua exactly what u want...stay tuned more drama is coming.
 
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town

jamani mi hoi lol kama mbuzi tena!!!!!!!
 
Tatizo ni nyie wanaume,mnataka wamama waliojazia i.e ------ na mapaja makubwa. Sasa mlitaka wafanyeje?
 
........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    8.7 KB · Views: 108
Kuna jamaa aliiona mkewe kaitundika kwenye hanger akamuuliza hii.chupi vp mkewe akamwambia ya kutunisha makalio. Jamaa akamuuliza mkewe sasa anamvalia nani mana km yeye anajua kama hana kama yale na kamuona kabla hajamuoa. Jamaa chupi aliichana chana kwa visu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom