Kwa mujibu wa mleta uzi,huyu dada ana mume!Na mume pamoja na mleta uzi wanakaa wote Dar anakotaka kuhamishiwa bi dada
Habari zenu wakuu.
Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.
Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer arudishwe Dar (kwa mume wake).
Akishahamishiwa Dar ndoa yetu inavunjika kila mtu na maisha yake.
Naombeni msaada wa kunieleza ndoa za bomani zinakuwaje.
Shukrani kwa msaada.
y asifunge ndoa na huyo mume wake na kama wamefunga si cheti anacho akitumie tu.
hakuna sehemu niliyosema kuwa ana mume ila ni rafiki angu tumekuwa nae kitaa kimoja.
amepata kazi tabora na anataka kurudi dar kwa huo uhamisho
Ahahahahahaha Sema weye koligSave your energy,siku hizi cheti cha ndoa hakina msaada kiasi hicho kwenye uhamisho.
Azichange tu na kutafuta watu wa kumsaidia.
Ahahahahahaha Sema weye kolig