Nimeombwa kuwa "Husband for hire"

Nimeombwa kuwa "Husband for hire"

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Habari zenu wakuu.

Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.

Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer arudishwe Dar (kwa mume wake).

Akishahamishiwa Dar ndoa yetu inavunjika kila mtu na maisha yake.

Naombeni msaada wa kunieleza ndoa za bomani zinakuwaje.

Shukrani kwa msaada.
 
he heeeee kazi ipo hapo

siajabu moyoni kashakuchagua kweli kashindwa kukwambia tu
 
Bulldog,,umsaidie mfunge ndoa arudishwe Dar kwa mume wake????!!Kwa nini hasimwambie huyo mumewake wakafunga hiyo ndoa?
 
Last edited by a moderator:
he heeeee kazi ipo hapo

siajabu moyoni kashakuchagua kweli kashindwa kukwambia tu

Hapana The Boss

Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.

Hatuna feelings kabisa.

The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.

Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,
 
Ukimaliza kuchani hiyo, ukachane na ile ya bomani ili kufuta ushahidi!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakuu.

Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.

Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer arudishwe Dar (kwa mume wake).

Akishahamishiwa Dar ndoa yetu inavunjika kila mtu na maisha yake.

Naombeni msaada wa kunieleza ndoa za bomani zinakuwaje.

Shukrani kwa msaada.

huna akili mwanaume mzima
 
Hahahahaaaaa, we zoba kweli! Nani aliyekuambia ndoa huwa inavunjwa kwa kuchana cheti cha ndoa? Na kumbu kumbu pale bomani mtaziiba? Mashahidi nao mtawaua? Au utafanyaje? Ukishamuoa ndugu yangu kwa style hiyo ni kisheria na ukitaka kuivunja mpaka muende kisheria zaidi na mpeane talaka otherwise utaingia choo cha kike hivi hivi ukijiona! Kiufupi usikubali kabisa kitu kama hicho bwana mdogo labda kama unamhitaji awe mke wakomuwekane wazi tu mfanye hiyo mbinu yenu mkiwa mmeridhia kwa lolote litakalotokea mbele ya safari!
Kukusaidia soma uzi huu wa Mommadou Keita utulie na kutafakari!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/637552-hadithi-kali-baniani-mbaya.html

Hapana The Boss

Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.

Hatuna feelings kabisa.

The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.

Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuwa makin ukitaka kufunga ndoa na shemeji yetu wa ukweli anaweza akazinguwaa
 
Hahahaaaa! Unajipiga kitanz mwenyew..... Hvi unawajua wanawake sasa hvi?
 
Hapana The Boss

Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.

Hatuna feelings kabisa.

The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.

Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,

Ndoa haivujwi kwa kuchana cheti bali ni kwa mahakama pekee, halafu mpaka ipite miaka miwili ndio unaweza iivunja mahakamani, kabla ya hapo ruhusa ni kutengana tu. Zaidi pia ni kosa la jinai kifunga ndoa nyingine kabla ya kuvunja iliyopo kama si ya wake wengi
 
Last edited by a moderator:
y asifunge ndoa na huyo mume wake na kama wamefunga si cheti anacho akitumie tu.
 
Hapana The Boss

Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.

Hatuna feelings kabisa.

The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.

Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,

Na Ile Copy Ya kule Bomani utaenda kuichana ???????? Uwe mwangalifu usijejikuta una mke wa pili bila kutarajia
 
Moyo wa mwanadamu ni Kiza kinene, inawezekana kuna hila au ni kweli shida yake ni hiyo ya kuhama. Mimi binafsi nilishaona ndoa hizo km mbili hivi na sasa hivi wanandoa hao feki wana maisha yao na kila mtu ana ndoa yake nzuri tu. Unaweza kumsaidia at ur own risk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom