Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Pole sana sr. Ni kweli kabisa kuolewa au kuoa cyo mwisho wa kupenda au kupendwa. Kwa kuwa unajiheshimu na mmeo anatimiza wajibu wake kwako na familia kwa ujumla, achana na huyo jamaa ambaye unapaswa umtizame kama msafiri kwenye bus asiye na sit wakati wewe uko kwenye sit. Mwombe MUNGU japo amhamishie kwingine ili kikombe hicho kikuepuke, hilo LINAWEZEKANA niamini.
 
Shetani ananguvu na anaskili sana...hapo kaishateka ufahamu wangu na hisia zako ionekane unamfeel huyo jamaa.Sali sana...mpe nafas mmeo....acha kujidanganya
 
Embu tumia sura ya kazi unapokuwa nae ofsini najua
Utashindwa ila muweke waz juu ya hisia zako kwa mumeo mwambie kuwa mm nipo ndani ya ndoa ivyo sitahitaji kukuumiza tafuta wako wa kutulia nae mm siko tayari kuwa nawe atajifanya anajipendekeza hapo anza kuwa serious iyo itakufanya ujiamini kila wakati ukiona bado anakutafuta kwa simu badilisha na namba ya simu
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Pole sana....hali hiyo inawatokea wanawake wengi sana, Kifupi tu hilo ni pepo la usinzi linakuandama na soon usipokua makini na ndoa yako itakua historia. Na mbaya zaidi hutakaa uwe na amani.
Huyo mwanaume unaemsifia, am telling you, huyo ni kahaba wa kutupwa na pengine ameshatembea au kuwatongoza baadhi ya wanawake wenzio hapo kazini.. Huyo hakupendi hata kidogo, amekutamañi tu na anataka kucheza na feelings zako...Haiwezekani mwanaume ampende mwanamke huku akijua ameolewa...anjua you are cheap...
Achana nae kabisa tena sitisha ukaribu nae...ukiendelea na ukaribu kwa wiki mbili ijayo,...!!! Utarudi na mengine hapa..
Kimbia zina......
 
Problem inakuja je amemwambia mumewe hvyo ana vyovimiss

Nadra sana kwa mwanamke kukuambia her emotional needs. As a man you will have to figure that out yourself.

Kama wanaishi wote nyumba moja na wanalala wote kitanda kimoja mumewe atajua kuwa kuna tatizo somewhere unless he takes her for granted.

Wanawake are emotionally intelligent and resilient, unaweza ukaona appearance yake ni ya furaha, but deep down she is unhappy.
 
Hakuna kitu kibaya kama mwanadamu akipoteza udhibiti wa akili yake na kuongozwa na matamanio yake......

Kutokana na kushindwa kudhibiti matamanio yako...sasa umemkaribisha shetani ambaye anakaribia kuyaangamiza maisha yako.....
 
Kama ungejuwa hata mama yako alitamani wanaume wengi na akajimudu kuzuia tamaa zake sasa kizaz chake naona kimevurugwa Na UFIS
Tena ushukulu Mungu umeolewa maana unajuwa wenzako wanavyo lalwa Na waganga wa kienyeji
 
stop kidding! Umesema katika ndoa yako halali umekua ukipitia mambo magumu ila unashinda kwa kusali sana. imekuaje hapo unashindwa kusali sana? Though maandiko yanashauri uikimbie zinaa na sio kukemea kwa sala na maombi, ila mytake:
Mungu ni yeye yule, jana, leo na hata milele, ukimwomba atakutia nguvu na kukupa njia rahis ya kuikimbia zinaa.
reputation is everything in human life.
 
I wish my X GF angekuwa na akili kama zako.

Shida ni kwamba kwa wengine emotions zikishika hatamu, ubongo una paralyse hadi mtu akutane na consequences, ndio memory za utimamu zinakuwa restored.
Pole sana mkuu...
Ukifanya hisia zikupangilie cha kufanya utakua chizi....
 
Hizo feelings ulizonazo sasa hivi, jamaa akishakugonga tu zitageuka kuwa za maumivu makali sana na hutojisikia kama mwanamke aliekamilika. Trust me, mpotezee.
 
Dah hivi me ntakuja kuoa kweli? Kama wanawake wenyewe ndo hivi? Bora niendelee kula bata tu bhas!!!!!
 
It's likely a 'sinking ship' ambayo ni wewe tu ndo mwenye kila namna ya kuifanya iczame and you have ol tacts'! ....amua sasa, otherwise don't be s.t.u.p.i.d!
 
Watu wanajifanya wachungaji Humu utafikiri hawachepuki... Dunia yasasa hakuna asiye chepuka bwana... DADA mvulie chupi jamaa ila mwambie ukweli kwamba unahitaji heshima yahali yajuu hutaki mazoea mkiwa kazini mambo yenu kafanyieni mbali... Kikubwa zaidi usije onyesha dalali yeyote mbaya kwa mumeo...
 
Ndoa hizi. Mi naogopa sana na Mungu ingilia kati.

Kuna kipindi niliwahi muuliza mama yangu, kwa nini ndoa zao zilikuwa strong kuliko za sasa but majibu niliyopewa ni kwamba uzamani wao ulisaidia sana kufanya ndoa kusimama.

Leo hii Amina kakutana na Mwajuma, Amina anamcheka mwenzie kwa kushangaa kwa nini mumewe anamrudia ndani saa sita, anamshauri kwamba akiona mumewe karudi saa sita ye kesho yake arudi saa 7. Mi naupenda uzamani.
 
Pepo la umalaya linakuhusu! Mshirikishe Mungu kabla ya JF, humu kuna mapepo mengi ya aina hiyo!
 
Back
Top Bottom