Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Hisia ni kitu kibaya sana

Huyo jamaa anafahamu tayari kashakuteka kihisia na anachosubiri ni kutimiza anachotaka kukufanya tu

Na kwa jinsi ulivyomuelezea mume wako kuhusu tabia za mume wako napata hisia kama vile unajaribu kujitetea kile unachoelekea kukifanya na huyo jamaa(kama ni zamu yako kulipa)

Cha kufanya weka mawazo wewe ni mke wa mtu na ifikirie familia yako,heshima yako kwa mume,hapo ofisini...aibu utakayopata baada ya kugunduliwa usaliti itaharibu miaka yako yote 9 ya uaminifu

Shetani yupo kutujaribu
Pambana tumshinde
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.

jiheshimu ili na wewe uheshimiwe soma Galatia 5:16-26 kisha omba kwa Mungu akuepushe na tamaa ya mwili inayokunyemelea umesema kila ukipitia kwenye changamoto huwa unaomba mbona hata hii ni changamoto kwa nini usiombe Mungu akuondole tuache kuiendekeza miili yetu kufanya uzinzi hujui kuwa mwili wako ni hekalu la Mungu kwa nini kulichafua hekalu la Mungu kwa ajili ya tamaa 1Korintho 6:1519 embu tumuheshimu Mungu na kumuogopa jamani Dada embu muaibishe shetani kwa kukimbia huu mtego aliokutegea soma maneno ya Mungu jinsi yalivyo na hekima ?
 
achana na huyo jamaa bora angekua ofisi ya mbali sio hapo asee
Shunie kucheat nikucheat tu at a angekuwa wapi amwache hisia huja na kuondoka ndoa I don't thinks so na sio kila kitu unachohis kinakufurahisha kinaweza kukufaa maishan jifunze kutofautisha temporary feeling n permanent one deal with your emotions in a different way ukitoa papuchi ndo bhas tena utaharibu ulivyohangaika kuvijenga kwa miaka tisa yote for what?? Crush at the office no way alaf akishajua weakness yako tu umekwisha
 
Dada, kwanza pole sn. Makazn tunakutana na changamoto nyng sn. Hakuna mapenzi hapo ni kujidhallsha tu. Cc wanaume tunambinu nyng sn huenda umepgwa kipapai kila ukimuona una changanyikiwa. Nakuomba toka sakafuni mwa moyo wangu epuka hyo dhambi dada angu. Mludie Mungu wako sali sn ikibidi mshrkishe kiongozi wako wa dn. Umetekwa si bure dada. Mungu akusimamie sana ktk jaribu ovu hlo.
 
Hisia ni kitu kibaya sana

Huyo jamaa anafahamu tayari kashakuteka kihisia na anachosubiri ni kutimiza anachotaka kukufanya tu

Na kwa jinsi ulivyomuelezea mume wako kuhusu tabia za mume wako napata hisia kama vile unajaribu kujitetea kile unachoelekea kukifanya na huyo jamaa(kama ni zamu yako kulipa)

Cha kufanya weka mawazo wewe ni mke wa mtu na ifikirie familia yako,heshima yako kwa mume,hapo ofisini...aibu utakayopata baada ya kugunduliwa usaliti itaharibu miaka yako yote 9 ya uaminifu

Shetani yupo kutujaribu
Pambana tumshinde
Asante kwa ushauri ni kweli sometimes yale mawazo ya kwani haya yeye si anafanya yananijia vby sana.Lkn najua sio justification ya mm kucheeat.blv me toka nimeolewa sikuwahi kuwaza kumlipizia anavocheat.
 
jiheshimu ili na wewe uheshimiwe soma Galatia 5:16-26 kisha omba kwa Mungu akuepushe na tamaa ya mwili inayokunyemelea umesema kila ukipitia kwenye changamoto huwa unaomba mbona hata hii ni changamoto kwa nini usiombe Mungu akuondole tuache kuiendekeza miili yetu kufanya uzinzi hujui kuwa mwili wako ni hekalu la Mungu kwa nini kulichafua hekalu la Mungu kwa ajili ya tamaa 1Korintho 6:1519 embu tumuheshimu Mungu na kumuogopa jamani Dada embu muaibishe shetani kwa kukimbia huu mtego aliokutegea soma maneno ya Mungu jinsi yalivyo na hekima ?
Asante sana
 
utakuwa umeolewa kivuli wewe. walio olewa huwa hawa fall bali huwa wanachepuka kishkaji nk mpaka kufikia ku fall means unaweza ukaacha uyo mume uolewe na uyo ulie m fall in.. sasa kama umefikia hatua iyo basi ujue mumeo hukumjaza rohoni bali ilikuwa mradi nawe mrs
 
Huyo ni shetani na ukimuendekeza utakuja kujutia maisha yako yote.Usikubali akushinde sali sana maana nimegundua kuwa wewe ni mtu wa maombi.
 
Sista umeshawahi kuona funguo inayofungua makufuli mengi inadharauliwa? Jibu ni HAPANA.
Sasa je umeshawahi kuona kufuli linalofunguliwa na kila funguo lina thaminiwa?
HAPA SASA UNATAKIWA UJIFUNZE KUWA UKIKUBALI TU FUNGUO NYINGINE IKUFUNGUE JUA UMEPOTEZA THAMANI JUMLA HALAFU FIKIRIA JUU YA WATOTO WAKO HAUONI PIA UTAWAFANYA WADHARAULIWE KWA KILE UTAKACHOKIFANYA.
Kuwa makini sista.
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Kama ni kweli unasema unajiheshm jibu lipo wazi lkn kama ni ziro hata kama tutakushauli kujenga mji wako kwa uliyoyasema sizani kifupi heshm ndoa yako hakuna dhaliliko kubwa unalokwenda mfanyia mume wako kama hilo na hakuna siri kitakuja julikana hapo ndipo mwanzo wa shida lkn pia shida kwa watoto,MUNGU akubariki na akupe moyo wa kuheshim ndoa yako.
 
Back
Top Bottom