Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Hiyo namba 2 inaonesha kuwa tayari ku do nae jamani jamani nyie wanawake nyie mmmh!!
Najua utampa tu no way kwa maelezo yako
 
natamani ukubali kua it takes two to tangle!
HAKUNA MAHALI NDOA INABEBWA NA MTU MMOJA IKADUMU!
HIZI HABARI ZA KUVUMILIA MAGUMU KATIKA NDOA ZIMETUTENGENEZEA KIZAZI CHA AJABU SANA!

mi leo nimeamua tu kukuchallange upande huo!so vumilia tu!
MKE WA AINA HII YANAYOENDELEA KICHWANI KWAKE NI HAYA
-sithaminiki
-sipendwi
-mimi si mwanamke kamili
-sijaliwi
-im not taken care of
-

my dear hakuna vitu vinavunja kabisa EGO ZA WANAWAKE KAMA HAYO HAPO JUU!
if at all mwanaume unafikisha mke kwenye hiyo stage!
hata kama hatachepuka(as hiyo nayo ni debatlbe na haina guarantee ya kupata vile ulivyovikosa kwa mumeo)
BUUUUT HATA KMA HATACHEPUKA!
HUTAKUWA UMEBAKI NA MKE!
It takes two to tangle. Kweli kizazi chetu cha sasa hivi kimekomaa tu na "kudumu" katika Ndoa, haijalishi huna furaha wala nini, wewe kaa tu humo hadi kifo kitakapokukuta. Kila mahusiano au hata kuwa single kuna changamoto na Uvumilivu unahitajika , but mahusiano yanapokuwa "project ya Uvumilivu", that's too much Abeg

Kuna watu wanaishi kwenye ndoa ila mioyo, akili, hisia na utu wao umekufa kabisa. Ni vile tu hawezi kutoka humo kwenye ndoa, kwanza jamii itamuonaje? Mpumbavu aliyeshindwa ndoa? Hawa wanaume ni kama maboss kwenye ndoa, mke jitahidi tu kushikilia ndoa yako, ukichoka ndo na ndoa imechoka, mume yeye hahusiki katika kuitunza ndoa. So sad, sijui watoto wetu wa kiume watakuwa waume wa aina gani huko baadaye
ndo namwambia mdau hapo juu!
hii habari ya hivi imetutengenezea kizazi cha ajabu kabisa!cha ajabu kabisa!
nani alisema kumuoa mwanamke ni favor so anatakiwa kuishi kwa vigezo na mashart yaliyozingatiwa?short of tht ruksa mume kuwa na michepuko?
come to think of it!
MWANAMKE ANAYEJUA KABISA KWA SHUHUDA NA MAJIBU NA VITENDO!KUWA MUME ANA WANAWAKE NJE!
NAFASI YAKE YA UPENDO UTII NA KUFANYA NDOA YAKE IWE NA FURAHA YANATOKA WAPI?

leo hapa kila mmoja anamuona huyu ni Malaya!
ona anavohangaika kuandika post maskini nahs mpk amebadili id!(mfupa huu tunaweza kuutumia wengine tu!id hiyo hiyo na inajulikana)
BUT TRUTH BE TOLD!
huyu mke aliyefika hii ngazi ya kukatishwa tamaa hivi kimahusiano anapata wapi nguzo ya kusimamia asiingie kwenye hii affair!?
nani alisema kuolewa ni mwisho wa kuingia na kutoka mapenzini!?
SIO KWELI!
ni maamuzi tu ya mtu kulingana na vile maisha yake yalivyo!
kama vile mwanaume anavyoingiana kutoka atakavyo kwenye mahusiano mengine na bado jamii na yeye mwenywe abaki kuona anachofanya ni sahihin,so be it kwa mwanamke pia!(kimsingi sio so be it,so it is)
 
Jaribu kumsahau,kwa kuwa nakuhakikishia ukivua nguo ndio mwisho wa kila kitu na atakuacha uchi na utajuta maisha yote.
 
Wisdom inasema si kila tunachohitaji kinatufaa, iwe kwa wakati ulipo au kwa baadae. Kuwa na mahitaji ni jambo moja na kutimiza mahitaji hayo ni jambo lingine. Ukitaka kujua sacrifices ambazo mume wako anazifanya juu yako muulize ana mahitaji mangapi ambayo wewe huwezi kumpa au kama asingekuwa na wewe anageweza kutimiza ndoto ngapi? Kimsingi, wasichana wengi waliopo kwenye ndoa hawatambui ni vitu vingapi waume wao wame sacrifice kwa ajili yao na familia. Sasa anatoke mdada ambaye yuko mid 30 anazungumzia mambo ya kitoto kabisa eti mume wangu hanijali and so she want to cheat with a drama boy. Girls Mungu anawaona
Kwa hiyo kama anaihudumia vizuri familia yake basi ndo asijali hisia za mkewe na kumuheshimu na kuuheshimu utu wake na afya yake, alale tu na wanawake huko nje, hana muda na mkewe etc?
 
Nawashukuru kwa mawazo yenu wapendwa.Napata nguvu ya kulishinda hili jaribu
Kwa hakika dada nakufahamu vzr sana na hata jamaa yako namfahamu vzr sana na huyo anayekuteka moyo naye namfahamu. Dah kwahiyo umekuja kuomba ushauri huku ili kumtosa jamaa yetu. Owk poa ila kwangu mimi nasema hivi IKIMBIE ZINAA ,ZINAA SI YA KUITEMBELEA TARATIBU BALI DAWA YAKE NI KUIMBIA HAKUNA CHA MTU WA MBALI AU KARIBU ,DADA IKIMBIE ZINAA HAINA POSITIVE RESULTS ALWAYS
 
Kwa hiyo kama anaihudumia vizuri familia yake basi ndo asijali hisia za mkewe na kumuheshimu na kuuheshimu utu wake na afya yake, alale tu na wanawake huko nje, hana muda na mkewe etc?
Kwa mujibu wa thread huyo mdada amekutana na msg hajawahi kumfumania so hatuwezi ku-establish kama huyo mume mwema ana cheat au la, ila personally i don't support mtu yoyote anaye cheat, ku-cheat si kuzuri hasilani. Sasa basi kuna issue nyingi zinaweza zikawafanya watu wasiwe pamoja, hiyo story ya huyo bi-dada-macho-juu haiko balanced. Unaweza ukakuta ana kidomo domo hatari, hamueshimu mume wake, ni-mbinafsi, mchoyo na anapoteza muda mwingi kwenye whatsApp au Jamii forums kuliko kukaa na mume wake. Hivyo tusitoe hukumu ya moja kwa moja kwa mume wake, cha msingi ni ile hoja yake ya kutaka kugawa penzi kwa drama boy. Wasi wasi wangu, kama yupo hapa Dar es Salaam au nje ya nchi, hao drama boys wako kila mahali, atatoa penzi kwa jiji zima au nchi yote aliyopo lakifanya mchezo.
 
Kwa mujibu wa thread huyo mdada amekutana na msg hajawahi kumfumania so hatuwezi ku-establish kama huyo mume mwema ana cheat au la, ila personally i don't support mtu yoyote anaye cheat, ku-cheat si kuzuri hasilani. Sasa basi kuna issue nyingi zinaweza zikawafanya watu wasiwe pamoja, hiyo story ya huyo bi-dada-macho-juu haiko balanced. Unaweza ukakuta ana kidomo domo hatari, hamueshimu mume wake, ni-mbinafsi, mchoyo na anapoteza muda mwingi kwenye whatsApp au Jamii forums kuliko kukaa na mume wake. Hivyo tusitoe hukumu ya moja kwa moja kwa mume wake, cha msingi ni ile hoja yake ya kutaka kugawa penzi kwa drama boy. Wasi wasi wangu, kama yupo hapa Dar es Salaam au nje ya nchi, hao drama boys wako kila mahali, atatoa penzi kwa jiji zima lakifanya mchezo.
Yani mkeo hata aweje, huna excuse ya kumcheat. Kama umeongea naye na ameshindwa kujirekebisha, basi muache tu ijulikane moja kaoe huko unakoona unapata kila unachohitaji
 
Pole dada duh aise umenifanya ni mkibilie mke wangu asaivi, aise ushauri wangu ni hivi mpende mumeo kuna sababu tuh naona mpaka anakua vile, so wewe ufanye kazi ya nguvu kumfanya mumeo kua vile unavyo taka. na inawezekana na unaweza tuh, maana nyie wanawake mmpewa uwezo mie nakuambia fanyia kazi tuh! nadhani ulisha sikiaga ile misemo fulani kaekewa limbwata ukweli sio libwata basi tuh ni manjonjo so angalia wapi unakosea anza mashambulizo upya kwa mumeo, mumeo anakupenda saaana basi tuh hizo ni ups and downs kwa sasa design kuchokana kwa muda ndoa ndoano. usikubali kupoteza heshima yako kazini,na hakuna siri kweli atasema pili wanao wafikiria ndoa sio kitu cha mchezo mchezo Mungu aku simamie aise hakufanyie uwepesi na hakuepushe na ibilis maana hata huyo coworker wako ni shetani uwezi kutongoza mke wa mtu sio gentle maana huyo.
 
Yani mkeo hata aweje, huna excuse ya kumcheat. Kama umeongea naye na ameshindwa kujirekebisha, basi muache tu ijulikane moja kaoe huko unakoona unapata kila unachohitaji
Hali kadhalika ushauri huo pia umwendee huyo bi-dada macho-juu, kama amemshindwa huyo mume atafute talaka mahakamani, ale maisha na huyo drama boy wake.
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Kama unahisi atakuwa na mapenzi ya mpito na hawezi kuendelea kuwa na wewe haina haja mpendwa komaa na mume wako jaribu kumsihi nakumuombea ataacha
 
Anakufanya uwe na furaha kwakua hajakufunuaa!!!! ngoja aichungulie uone utajutia maisha ,achana uo ujinga tulia kwa mumeo
 
Kwa hakika dada nakufahamu vzr sana na hata jamaa yako namfahamu vzr sana na huyo anayekuteka moyo naye namfahamu. Dah kwahiyo umekuja kuomba ushauri huku ili kumtosa jamaa yetu. Owk poa ila kwangu mimi nasema hivi IKIMBIE ZINAA ,ZINAA SI YA KUITEMBELEA TARATIBU BALI DAWA YAKE NI KUIMBIA HAKUNA CHA MTU WA MBALI AU KARIBU ,DADA IKIMBIE ZINAA HAINA POSITIVE RESULTS ALWAYS
SO UKIMFAHAMU NDIO NINI?
 
Lazima ukubali kwamba Mungu hawezi kumpa mtu attributes zote nzuri, huyo mume ambaye ameelezwa hapo, anajua kutafuta pesa, amemfanya huyo mwanamke awe na maisha mazuri etc. Ofcause hawezi kujali, so she has to use her brain, life is not a fairy tale like snowhite and the seven dwarfs (mirror mirror on the wall..... and you kiss the prince). What i see she is loosing touch with reality. Huwezi kupata mwanaume mwenye quality zote. Mengineyo ni ukicheche wake ambao anataka kuhalalisha.
PESA NI NINI BANAAAAAAAAAAAAAAAAA,TUNGEOEWA NA MIAMALA YA BENKI BASI!
na kimsii hakuna anayetaka kuishi na mu mkamilifu!
umeona vitu vinavyomfanya huyu aone huyu staff mwenzie ni mwanaume anayempa furaha?
kipi hapo kinatimizwa na pesa?
 
More wood for the fire, no one can satisfy her.........just thinking
 
Back
Top Bottom