Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Wewe chepuka tu mamy, wanaokushauri uache wote ni wachepukaji, kwa nini ukonde bure, kwani ukichepuka itaisha, huyo mume heshima yake ndani ya nyumba, kwanza nakushangaa sana miaka 9 hujachepuka? Ladha zinatofautiana mamy, faidi mapenzi usipitwe na muda, ningekuwa mimi ningeleta mrejesho tu humu, wanaume wenyewe hawa akikuzoea mnakuwa kama dada na kaka ndani ya nyumba, fanya maamuzi ukaione paradiso ya duniani
hahahahahhahahahhahha
 
Pole dada duh aise umenifanya ni mkibilie mke wangu asaivi, aise ushauri wangu ni hivi mpende mumeo kuna sababu tuh naona mpaka anakua vile, so wewe ufanye kazi ya nguvu kumfanya mumeo kua vile unavyo taka. na inawezekana na unaweza tuh, maana nyie wanawake mmpewa uwezo mie nakuambia fanyia kazi tuh! nadhani ulisha sikiaga ile misemo fulani kaekewa limbwata ukweli sio libwata basi tuh ni manjonjo so angalia wapi unakosea anza mashambulizo upya kwa mumeo, mumeo anakupenda saaana basi tuh hizo ni ups and downs kwa sasa design kuchokana kwa muda ndoa ndoano. usikubali kupoteza heshima yako kazini,na hakuna siri kweli atasema pili wanao wafikiria ndoa sio kitu cha mchezo mchezo Mungu aku simamie aise hakufanyie uwepesi na hakuepushe na ibilis maana hata huyo coworker wako ni shetani uwezi kutongoza mke wa mtu sio gentle maana huyo.
bora uliyamua kujifunza na kuchukua hatua!
safiiiiii!
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Rudi tena kwa mola wako muombe sana akuondoe kwenye hayo majaribu hapo shetani anajaribu kuweka nguvu zake ili ushindwe na huwezi amini kwenye ndoa ni vitu vidogovidogo tu huwa vinaharibu ndoa kwa hiyo sali sana
 
PESA NI NINI BANAAAAAAAAAAAAAAAAA,TUNGEOEWA NA MIAMALA YA BENKI BASI!
na kimsii hakuna anayetaka kuishi na mu mkamilifu!
umeona vitu vinavyomfanya huyu aone huyu staff mwenzie ni mwanaume anayempa furaha?
kipi hapo kinatimizwa na pesa?

Tatizo wadada mnajifanya kuiga vitu vya mbele, mnapenda kupewa attention na waume zenu utadhani baba zenu walifanya hayo. Utasikia oohh dunia imebadilika ! imebadilika mbona hamvai chupi vichwani? Mwanaume anahangaika anatafuta pesa watu wale, anahangaika na mambo ya ofisi, kakupa usafiri na kukupa heshima ya kuitwa mke wa mtu bado kwa umalaya wako unasema oohh jamaa hakukei, mara hakupi attention. Kama unadhani hakupi attention ondoka ukaolewe na mwingine , kama kwa vyote unavyofanyiwa na mumewe havimpi furaha aondoke akaolewe na huyo mume wa mtu.
 
Mmmh..we dada unataka kuachwa na mumeo huyo jamaa unaemtaman ni mzee wa hit and run hana mpango na ww since we ni mke wa mtu hapo anatumia ni technique ndogo tu apate anachotaka
 
denial ya kuogofaya kabisa!
hii ni case moja tu!
but zipo 30093388383 za aina hii!
bahati mbaya waume ni hawa hawa tunaojazana nao humu!
YET watu wamekazana wanawake timizeni wajibu wenu
katika,mpikie mume,oga ,kuwa msafi,sijui mbembeleze and all crap!
TUNAKATAA KUTIZAMA TATIZO HASA LIKO WAPI?

huyu anakiri kabisa mimi ni mke mwema,najitahidi kwa nafasi yangu!
ila kuna one two na three!MUME UKIMUULIZA ATAKWAMBIA MKE WANGU ANA GARI,ANA NYUMBA,NASOMESHA WATOTO,NASOMESHA NDUGU ZAKE ,NALIPA DSTV,NAMTIBU MAMA YAKE INDIA!
jamani wake zenu WANGEYATAKA HAYO WANGEOLEWA NA SHIRIKA LA KUSAIDIA WASIOJIWEZA DUNIANI(SKW) ,enh manake mtu his MANHOOD ANAIPIMA KWA MZANI WA NAMNA GANI MFUKO WAKE UNATOBOKA?

YET watu wamkee hapa kumlaumu huyu?

Umeandika vyema kabisa.

Uzi huu pia unaonyesha jinsi gani wanaume wengi wanavyokimbilia kumyoshea kidole mwanamama ili kulinda mapungufu ya mwanaume mwenzetu. Aidha wengi wao wanahofu kwamba hali aliyoielezea lornapm ndio pia ukweli wa maisha yao hivyo wanaogopa wenza wao wanaweza kupata changamoto kama zinazomkabili huyu dada...Acha nisiseme zaidi
 
Tatizo wadada mnajifanya kuiga vitu vya mbele, mnapenda kupewa attention na waume zenu utadhani baba zenu walifanya hayo. Utasikia oohh dunia imebadilika ! imebadilika mbona hamvai chupi vichwani? Mwanaume anahangaika anatafuta pesa watu wale, anahangaika na mambo ya ofisi, kakupa usafiri na kukupa heshima ya kuitwa mke wa mtu bado kwa umalaya wako unasema oohh jamaa hakukei, mara hakupi attention. Kama unadhani hakupi attention ondoka ukaolewe na mwingine , kama kwa vyote unavyofanyiwa na mumewe havimpi furaha aondoke akaolewe na huyo mume wa mtu.
ukitaka nikujibu post yako kwa matusi NITAKUTUKANA MPK UULIZE JINA LANGU LA UTOTO!
KUNA MAHALI NIMEKWITA MALAYA?
JIANGALIE!
mxxxxxxxiou!
 
ukitaka nikujibu post yako kwa matusi NITAKUTUKANA MPK UULIZE JINA LANGU LA UTOTO!
KUNA MAHALI NIMEKWITA MALAYA?
JIANGALIE!
mxxxxxxxiou!

Aksante imekuingia hiyo ,dawa ni kubadilika tu! kugawa uchi kwa mwanaume mwingine eti mumeo hakukei ni uzinzi, na kwa kifupi ni umalaya, uchaguzi ni wako kuwa mtulivu kwenye ndoa au kuwa malaya, hakuna kulainisha maneno hapa
 
Kill your mind yourself before your mind kill your reputation to public
 
Back
Top Bottom