Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Maintain standard yako kwa unavyoongea hujawai kumcheat ni wazi hapo kazini wanaulizana flan nani anamgonga sasa ndio akatokea bingwa akatangaza lazima akupate na every step mnayofikia Kuna posibility mshakaji anawaambia bado kidogo tu ntamla
kwa akili ya kawaida mtu anajua umeolewa alafu anakutongozaje
bora uumie kwa kutompa papa heshima yako iongezeke kuliko kuumia ofisini ikijulikana ushagongwa just say NO
 
Acha upimbi wewe. Wadhungu uwa wana kamsemo kao wanasema, "don't shit on ur door step".. hata kama unataka kugegedwa nenda mbali hapo utamshushia mumeo heshima na wewe pia.. Nani anagegedana na co-worker wake kama kaoa au kaolewa labda itokee tuu kwa aliyekuwa singo..
 
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, kwa uzoefu wangu wanawake huwa mkishaamua kitu mmeamua na hua hamuambiliki. Hasa linapokuja swala la mapenzi mara nyingi huwa hamna control na kile mnachokifanya. Hapa tutapiga mayowe mpaka tuchoke lakini inawezekana kabisa huyu dada alishatafunwa na huyu jamaa siku nyiingi..
 
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba, kwa uzoefu wangu wanawake huwa mkishaamua kitu mmeamua na hua hamuambiliki. Hasa linapokuja swala la mapenzi mara nyingi huwa hamna control na kile mnachokifanya. Hapa tutapiga mayowe mpaka tuchoke lakini inawezekana kabisa huyu dada alishatafunwa na huyu jamaa siku nyiingi..
Wewe ndo umetoa hoja yenye mashiko.
 
Usijitese Kwa jambo ambalo linawezekana cha msingi mfanye siri, Kwa nini ujinyime kitu roho inatamani utajitesa bure, nakushauri mkubalie hautajuta, mbona mume wako anafanya. Hayo Mambo hayakwepeki kwenye dunia ya sasa
Ukiua muuaji mmoja duniani hakupunguzi idadi ya wauaji duniani! Afanye kama anamuhitaji kweli, sio kwa sababu mume wake anafanya.. Wanaume huwa tunaexploit weakness za wake za watu towards waume zao.. Inawezekana katika maongezi yao na huyo jamaa alitamka hiyo weakness ya kutopata attention kutoka kwa mume, ndo maana jamaa sasahivi "he is nothing but a caring, lustful sex vampire".
 
pamoja na kumshaur huyu mwanamke asicheat ndoa yake lakin natumai wanaume wengi tumejifunza kitu kikubwa sana hapa.Mwanamke hahitaj pesa tu na mali ili kuwa na amani katika ndoa ,tusiwavunjie heshima wake zetu,,heshima ya ndoa si jukumu la mwanamke tu,,tusipo kuwa makin tutachapiwa hadi na wauza genge
 
pamoja na kumshaur huyu mwanamke asicheat ndoa yake lakin natumai wanaume wengi tumejifunza kitu kikubwa sana hapa.Mwanamke hahitaj pesa tu na mali ili kuwa na amani katika ndoa ,tusiwavunjie heshima wake zetu,,heshima ya ndoa si jukumu la mwanamke tu,,tusipo kuwa makin tutachapiwa hadi na wauza genge
Waeleze
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.


Hii kitu ndo inanisababisha NIACHE KUOA kwa wakati huu.Yan mwanamke unatimiziwa kila kitu na bado unashindwa kujizuia kwa kutaka kutoka nje ya ndoa.
Kama umempenda huyo jamaa ni vema uombe TARAKA kwa mumeo na kisha ukaolewe nae.
Maana kitendo cha kusema huwezi jizuia hii ni CRITICAL POINT aseee....utagongeka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom