Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Umeongea ukweli mchungu. Wengi tunaishi kwenye denial, si unajua kuolewa ni heshima. ..So our lives will always revolve around our marriages no matter what. Teh mbona happily married
My dear, you must be a role model to your sons and daughters kama unao, wazazi wetu walivumilia magumu yote kwenye ndoa ili kutupa sisi fundisho kwamba, si ndoa tu, bali ata maisha ya kawaida yana changamoto. Tusiwe wepesi kutafuta suluhisho fupi kwenye mambo ya kudumu. Tulieni na wenza wenu mujadili na kutatua matatizo yenu bila ya kuchoka mpaka suluisho litakapopatikana. Ukumbuke kwamba mke na mume hamtoki familia moja na hata angekuoa kaka yako bado ndoa ingekua tabu sembuse huyo mtu baki.
 
Story inaonekana kama imeandikwa Na mwanaume...

Lakini pia mhusika anaonekana anajitambua sana sasa sijui kwanini anaomba ushauri wakati tayari anajua faida Na hasara za maamuzi atakayo chukua.

Ushauri wangu: Usichezee amani!!! Ikipotea kuirudisha ningumu sana...
 
Umeongea ukweli mchungu. Wengi tunaishi kwenye denial, si unajua kuolewa ni heshima. ..So our lives will always revolve around our marriages no matter what. Teh mbona happily married
denial ya kuogofaya kabisa!
hii ni case moja tu!
but zipo 30093388383 za aina hii!
bahati mbaya waume ni hawa hawa tunaojazana nao humu!
YET watu wamekazana wanawake timizeni wajibu wenu
katika,mpikie mume,oga ,kuwa msafi,sijui mbembeleze and all crap!
TUNAKATAA KUTIZAMA TATIZO HASA LIKO WAPI?

huyu anakiri kabisa mimi ni mke mwema,najitahidi kwa nafasi yangu!
ila kuna one two na three!MUME UKIMUULIZA ATAKWAMBIA MKE WANGU ANA GARI,ANA NYUMBA,NASOMESHA WATOTO,NASOMESHA NDUGU ZAKE ,NALIPA DSTV,NAMTIBU MAMA YAKE INDIA!
jamani wake zenu WANGEYATAKA HAYO WANGEOLEWA NA SHIRIKA LA KUSAIDIA WASIOJIWEZA DUNIANI(SKW) ,enh manake mtu his MANHOOD ANAIPIMA KWA MZANI WA NAMNA GANI MFUKO WAKE UNATOBOKA?

YET watu wamkee hapa kumlaumu huyu?
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Jasili hua haachi asili mpe papuchi jamaa aifyodoe balabalaaaa..
 
KUJITAMBUA NI PAMOJA NA KUFAHAMU UNACHOHITAJI WAKATI HUO!
being a woman doesn't make one unneedy!
HICHO NDO MNAKOSEA!
HUWA MNAAMINI SINCE MTU ANAONGEZEKA UMRI BASI NA MAHITAJI YANABADILKA,NO!
ENDELEA KUMTREAT MKEO ULIVYOKUWA UNAMTREAT ALIPOKUWA BINTI!
HAYA MAMBO YA KUAMINIMAHITAJI YA WANAWAKE YANABADILIKA ATI KWA KUWA NI GROWN UP!U ARE LOOSING IT!

acha wawagongee tu!
Wisdom inasema si kila tunachohitaji kinatufaa, iwe kwa wakati ulipo au kwa baadae. Kuwa na mahitaji ni jambo moja na kutimiza mahitaji hayo ni jambo lingine. Ukitaka kujua sacrifices ambazo mume wako anazifanya juu yako muulize ana mahitaji mangapi ambayo wewe huwezi kumpa au kama asingekuwa na wewe anageweza kutimiza ndoto ngapi? Kimsingi, wasichana wengi waliopo kwenye ndoa hawatambui ni vitu vingapi waume wao wame sacrifice kwa ajili yao na familia. Sasa anatoke mdada ambaye yuko mid 30 anazungumzia mambo ya kitoto kabisa eti mume wangu hanijali and so she want to cheat with a drama boy. Girls Mungu anawaona
 
IMG-20170516-WA0042.jpg
 
My dear, you must be a role model to your sons and daughters kama unao, wazazi wetu walivumilia magumu yote kwenye ndoa ili kutupa sisi fundisho kwamba, si ndoa tu, bali ata maisha ya kawaida yana changamoto. Tusiwe wepesi kutafuta suluhisho fupi kwenye mambo ya kudumu. Tulieni na wenza wenu mujadili na kutatua matatizo yenu bili ya kuchoka mpaka suluisho litakapopatikana. Ukumbuke kwamba mke na mume hamtoki familia moja na hata angekuoa kaka yako bado ndoa ingekua tabu sembuse huyo mtu baki.
natamani ukubali kua it takes two to tangle!
HAKUNA MAHALI NDOA INABEBWA NA MTU MMOJA IKADUMU!
HIZI HABARI ZA KUVUMILIA MAGUMU KATIKA NDOA ZIMETUTENGENEZEA KIZAZI CHA AJABU SANA!

mi leo nimeamua tu kukuchallange upande huo!so vumilia tu!
MKE WA AINA HII YANAYOENDELEA KICHWANI KWAKE NI HAYA
-sithaminiki
-sipendwi
-mimi si mwanamke kamili
-sijaliwi
-im not taken care of
-

my dear hakuna vitu vinavunja kabisa EGO ZA WANAWAKE KAMA HAYO HAPO JUU!
if at all mwanaume unafikisha mke kwenye hiyo stage!
hata kama hatachepuka(as hiyo nayo ni debatlbe na haina guarantee ya kupata vile ulivyovikosa kwa mumeo)
BUUUUT HATA KMA HATACHEPUKA!
HUTAKUWA UMEBAKI NA MKE!
 
Najua mumeo anakukwaza, lakini ndo aliyekupa Mungu, ukifanya yote kwa upendo huwezi kumsaliti mumeo, jaribu kuwa mbali na huyo jamaa na endelea kumshauri mumeo ajiepushe michepuko. Ukianza kuchepuka hutoacha leo na mumeo akijua ndoa i mashakani...trust me unachokitafuta kwa huyo utaregret ukishakipata..vanity, nothing. Baki kwa mumeo, una hamu ndiyo, lakini mumeo si yupo? Stay focused with your family.
 
Wisdom inasema si kila tunachohitaji kinatufaa, iwe kwa wakati ulipo au kwa baadae. Kuwa na mahitaji ni jambo moja na kutimiza mahitaji hayo ni jambo lingine. Ukitaka kujua sacrifices ambazo mume wako anazifanya juu yako muulize ana mahitaji mangapi ambayo wewe huwezi kumpa au kama asingekuwa na wewe anageweza kutimiza ndoto ngapi? Kimsingi, wasichana wengi waliopo kwenye ndoa hawatambui ni vitu vingapi waume wao wame sacrifice kwa ajili yao na familia. Sasa anatoke mdada ambaye yuko mid 30 anazungumzia mambo ya kitoto kabisa eti mume wangu hanijali and so she want to cheat with a drama boy. Girls Mungu anawaona
UNAONA SHIDA YENU!
acha walio mid 10 wawaonyeshe wake zenu cares!
 
Najua mumeo anakukwaza, lakini ndo aliyekupa Mungu, ukifanya yote kwa upendo huwezi kumsaliti mumeo, jaribu kuwa mbali na huyo jamaa na endelea kumshauri mumeo ajiepushe michepuko. Ukianza kuchepuka hutoacha leo na mumeo akijua ndoa i mashakani...trust me unachokitafuta kwa huyo utaregret ukishakipata..vanity, nothing. Baki kwa mumeo, una hamu ndiyo, lakini mumeo si yupo? Stay focused with your family.
family ambayo mume hayuko focused nayo?
 
denial ya kuogofaya kabisa!
hii ni case moja tu!
but zipo 30093388383 za aina hii!
bahati mbaya waume ni hawa hawa tunaojazana nao humu!
YET watu wamekazana wanawake timizeni wajibu wenu
katika,mpikie mume,oga ,kuwa msafi,sijui mbembeleze and all crap!
TUNAKATAA KUTIZAMA TATIZO HASA LIKO WAPI?

huyu anakiri kabisa mimi ni mke mwema,najitahidi kwa nafasi yangu!
ila kuna one two na three!MUME UKIMUULIZA ATAKWAMBIA MKE WANGU ANA GARI,ANA NYUMBA,NASOMESHA WATOTO,NASOMESHA NDUGU ZAKE ,NALIPA DSTV,NAMTIBU MAMA YAKE INDIA!
jamani wake zenu WANGEYATAKA HAYO WANGEOLEWA NA SHIRIKA LA KUSAIDIA WASIOJIWEZA DUNIANI(SKW) ,enh manake mtu his MANHOOD ANAIPIMA KWA MZANI WA NAMNA GANI MFUKO WAKE UNATOBOKA?

YET watu wamkee hapa kumlaumu huyu?
Teh hivi inawezekana kuiweka "sticky" comment?

Unfortunately sielewi why hawa wanaume tunawafanya victims muda wote, no wonder wataendelea kutuabuse tu. Yeye akichepuka ni kwa sababu mkewe hatimizi majukumu yake, ila mke akichepuka ni umalaya wake tu apewe talaka. Tumewaendekeza sana hawa wanaume, na ndo mabinti zetu wanakua wakiamini lazima mwanaume awe na wanawake wengi, na watoto wetu wa kiume wanakua wakiamini kucheat ni nature yao.

Na hivi mafanikio ya mwanamke yanapimwa kwa kuangalia kama ana ndoa au hana, basi Tutaendelea tu kuwaganda hawa serial cheaters, maana hatuwezi kupoteza heshima zetu. Kila kitu cha kujenga ndoa afanye mke, mume yeye busy anakitembeza kipublic pizza chake. No wonder wanatutreat as if wametufanyia favor kutuoa. Ndoa ikivunjika, ni upumbavu tu wa mwanamke coz hutakiwi kumuacha mumeo hadi uuwawe labda, aisee hizi ni ndoa au utumwa?
 
ndo namwambia mdau hapo juu!
hii habari ya hivi imetutengenezea kizazi cha ajabu kabisa!cha ajabu kabisa!
nani alisema kumuoa mwanamke ni favor so anatakiwa kuishi kwa vigezo na mashart yaliyozingatiwa?short of tht ruksa mume kuwa na michepuko?
come to think of it!
MWANAMKE ANAYEJUA KABISA KWA SHUHUDA NA MAJIBU NA VITENDO!KUWA MUME ANA WANAWAKE NJE!
NAFASI YAKE YA UPENDO UTII NA KUFANYA NDOA YAKE IWE NA FURAHA YANATOKA WAPI?

leo hapa kila mmoja anamuona huyu ni Malaya!
ona anavohangaika kuandika post maskini nahs mpk amebadili id!(mfupa huu tunaweza kuutumia wengine tu!id hiyo hiyo na inajulikana)
BUT TRUTH BE TOLD!
huyu mke aliyefika hii ngazi ya kukatishwa tamaa hivi kimahusiano anapata wapi nguzo ya kusimamia asiingie kwenye hii affair!?
nani alisema kuolewa ni mwisho wa kuingia na kutoka mapenzini!?
SIO KWELI!
ni maamuzi tu ya mtu kulingana na vile maisha yake yalivyo!
kama vile mwanaume anavyoingiana kutoka atakavyo kwenye mahusiano mengine na bado jamii na yeye mwenywe abaki kuona anachofanya ni sahihin,so be it kwa mwanamke pia!(kimsingi sio so be it,so it is)
 
UNAONA SHIDA YENU!
acha walio mid 10 wawaonyeshe wake zenu cares!
Lazima ukubali kwamba Mungu hawezi kumpa mtu attributes zote nzuri, huyo mume ambaye ameelezwa hapo, anajua kutafuta pesa, amemfanya huyo mwanamke awe na maisha mazuri etc. Ofcause hawezi kujali, so she has to use her brain, life is not a fairy tale like snowhite and the seven dwarfs (mirror mirror on the wall..... and you kiss the prince). What i see she is loosing touch with reality. Huwezi kupata mwanaume mwenye quality zote. Mengineyo ni ukicheche wake ambao anataka kuhalalisha.
 
Wewe chepuka tu mamy, wanaokushauri uache wote ni wachepukaji, kwa nini ukonde bure, kwani ukichepuka itaisha, huyo mume heshima yake ndani ya nyumba, kwanza nakushangaa sana miaka 9 hujachepuka? Ladha zinatofautiana mamy, faidi mapenzi usipitwe na muda, ningekuwa mimi ningeleta mrejesho tu humu, wanaume wenyewe hawa akikuzoea mnakuwa kama dada na kaka ndani ya nyumba, fanya maamuzi ukaione paradiso ya duniani
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.

Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa. Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela. Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids.

Katika kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu. Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji. Mimi sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba. Kiufupi ni mke mwema flani! Yes najiamini kwa hilo. Jamaa nishafumania SMS za wanawake Mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza. Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now. Kiufupi miezi kama 6 iliyopita nimekutana na jamaa katika kazi flani. Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flani ivi throughout. Tuliclick haraka sana tukawa close. Ilitokea tu sijui kwanini. Nilinotice jamaa ananicare vibaya sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist. Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kabisa.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao. Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz mimi ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband. Baada ya hapo akanikaushia kama wiki. Aisee nilikonda kwa mawazo. Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mimi anataka tuspend tym wawili. Kashanialika kwake mara kibao nachomoa. Imefika mahali najiona nitashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.Jamaa anajua mimi ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game nitamwangaliaje ofisini?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri. Aisee mi ni mdada ninayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling. Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote, confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence, kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Mpe jamaa akimaliza asepe na matangazo juu aujui kukatika unawahi kuchoka +#=
 
Back
Top Bottom