Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Ishu sio dudu km unavodhani,wala pesa ndo maana nikasema mapema nina uwezo msije mkadhani nimevutiwa na hela au natafuta hela.Tatizo nililogundua kwangu ni kukosekana emotional satisfaction kutoka kwa mume wangu km alivosema mchanguaji mmoja.Mume hajali mambo yangu kiivo.Hata usimsimulia stress za kazi hayuko concerned.
Kwa hiki kipindi kifupi jamaa amekuwa very concerned na mambo yangu,ana pay attention na ananielewa ananisikiliza,anajali, ananishauri.Hapo ni kwa mambo ya kawaida tu na work related matters.Sijawahi kushare nae details za ndoa yangu.Hii ni kwa sbb mwanzoni kabla hatujazoeana kiivo nilijinadi kwake kwamba am the happiest wife na under no circumstance sitokaa kumcheat mume wangu.Na sielewi why mtu anacheat.Nadhani pia kuna status flan ambayo ananichukulia coz hajui details za maisha yangu ya ndoa.And I didnt wanna break that.Yeye mambo yake ya mahusiano,familia,kazi etc ananiambia.Ila me sina nguvu ya kumsimulia wala sitaki.Sikutaka aone najustify me na yeye kuwa close kwa kumsema mume vby.Basi iko hivo tu.Na nimejikaza kutokuonyesha udhaifu muda wote akiwepo.
Katika hali ya kawaida yote haya yalitokea kwa sababu mliyajengea mazingira yatokee...

Muhimu jiepushe na mazingira yote hatarishi yaliyopelekea hali hiyo kuwepo, Vinginevyo Nyege hazina adabuu usipochukua hatua utagongwa an trust me uta regret kwa tendo hilo.

Kwa kuwa uliamua kumsamehe Mumeo basi simamia uamuzi wako huo wa msamaha kwake, Ongea naye kwa uwazi mwambie jinsi unavyoumia/kusononeshwa na hali hiyo ya Yeye kutokukupa attention, naamini ata feel guilt then kama ni wakubadilika atabadilika.
 
Kuna Mwanamke mwingine unakuta tangu ubinti wake hajawahi kuwa hata Na boyfriend hadi anakuja kuolewa na huyo Mume wake akiwa anamwamini Na kumpenda Kabisa, gafla anakuja kugundua Kumbe Mume wake anauhusiano Na mwanamke mwingine loh hatakama mwanaume utakana kama ilivyo desturi yenu na hali hiyo ikawa inajirudia mara Kwa mara, jua ipo Siku ..... Mimi nilikuwa siamini Kama mwanamke aliyeolewa anaweza kuchepuka Ila sasa nimeamini, halafu wanawake wakiamua kufanya Siri mwanaume hutakaa uje ustukie hata Siku moja! Labda hao ambao walio ofisi moja hapo wambea lazima watamtafuta huyo Mume Na kumweleza lakini Kama yuko mbali na Kama mwanamke anajielewa mwanaume kamwe hatakuja ajue!
Mmmmh we acha tu unanigusa sana, mwanamke unajiheshimu ila nwanaume ndo kwaaanza, yaani binafc cjafunga ndoa ila naelekea Ku sarender Mungu tu asimame
 
Pole sana dada yetu, binadamu tunafana na wanyama kitabia, huyu yuko hivi na huyo yuko vile. Yote uliyopewa ni majibu whether +ve or -ve, so fanyia kazi kile ukionacho kwako kitakusaidia maishani. ANGALIZO, epuka sana kukutanisha macho sana na huyo bwana anayemendea chakula cha bwana, hii ni kwa kuwa kuna nguvu fulani itokayo ktk macho labda hiyo nayo itakupunguzia husia mbaya.
 
Pole sana dada yetu, binadamu tunafana na wanyama kitabia, huyu yuko hivi na huyo yuko vile. Yote uliyopewa ni majibu whether +ve or -ve, so fanyia kazi kile ukionacho kwako kitakusaidia maishani. ANGALIZO, epuka sana kukutanisha macho sana na huyo bwana anayemendea chakula cha bwana, hii ni kwa kuwa kuna nguvu fulani itokayo ktk macho labda hiyo nayo itakupunguzia husia mbaya.
U r very right kaka!nimekupata vzr hasa hapo kwenye ANGALIZO.
 
Hakuna mwanamke anayeweza kumficha mumewe mahusiano mapya. Mumeo atajua au ashajua hisia zako zimebadilika. Hapo anatafuta uthibitisho pengine kuna mtu ashamset kazini akufatilie, au ndo umezidi kumpa stress anaona bora aendelee kulewa, kucheki mpira usiku, au clubs na out na washkaji akisubiri 40 zako zifike. Take care wanaume sisi ni suspicious hakuna tena on earth.
 
asante mkuu nashukuru kwa kunishauri bila kunijudge.Mume wangu naongea nae sana ila sijui ndo kashanizoea hata hajali anachukulia poa tu maisha yanasonga.
Kwa hiyo ushachoka na uvumilivu umekushinda? kumbuka kiapo chako pale madhabahuni, usishindane na mmeo hata siku moja, vumilia japo ni machungu sana, ipo siku atajua thamani yako kuliko huko nje. Heshima haiuzwi dukani
 
Kwa hiyo ushachoka na uvumilivu umekushinda? kumbuka kiapo chako pale madhabahuni, usishindane na mmeo hata siku moja, vumilia japo ni machungu sana, ipo siku atajua thamani yako kuliko huko nje. Heshima haiuzwi dukani
Acheni kumtisha bwana, kwani heshima sh ngapi ?
 
Mpe tu kwani peremende hiyo kwamba itayeyuka? Umewapa wangapi kabla ya mumeo? Acha kujibana mtoto wa kike. Mbinguni hutaenda maana ushatamani sasa na duniani nako ujinyime? Mpe, mpe hata leo hii.
 
Bwana akutie nguvu, Bwana akuepushe na hatari hiyo. NENO LA BWANA LINASEMA SHETANI NI KAMA SIMBA AUNGURUMAYE, HUZUNGUKA HUKU NA HUKU AKITAFUTA MTU AMMEZE. kuwa makini, songa mbele, shinda.
 
nyoka alijua fika kuwa wanawake n mashetani..ona sasa mtiu anandoa yake lakin anawaza upuuzi kama huuu
 
Kama una bonge la mume ,kaa na mumeo mweleze unachopenda akufanyie na ajirekebishee,,naona tayari ushawaka tamaa hiyo hali hutokea sana
 
Bwana akutie nguvu, Bwana akuepushe na hatari hiyo. NENO LA BWANA LINASEMA SHETANI NI KAMA SIMBA AUNGURUMAYE, HUZUNGUKA HUKU NA HUKU AKITAFUTA MTU AMMEZE. kuwa makini, songa mbele, shinda.
Nashukuru sana!
 
Nakushauri dada kaa na Mume wako mweleze kuliko kuwaka tamaa ya dakika mbili,you will ruin your credibility!!!if there is no satisfaction kaa nae ongeeni ikiwezekana with practical show him where to start kama huoni aibu maana mapokea wawili lazima muwe transparent.i know this that's why nakuambia na I am not only one whom I had a problems tena kubwa kushinda unavyoelezea wewe so kumweleza mwenzako ni vyema na nadhani kama umeshaimwaga hapa basi jua kuna mizaha pia na jambo hili hailihitaji mzaha hata kidogo it is a life journey Dada.this is your life,sio kwamba uwezo ndio maisha lah!
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Bora uache hayo mawazo ukiacha hutajuta ukifanya utajuta na mumeo atajua tu na hapo ndo mparaganyiko huanzia
 
Back
Top Bottom