LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Huyu siyo fisadi mwenziwe mbarara zomba wewe,huyu ni mwanainchi mwenye uchu na wanainchi wenzake,kama mlikuwa naye kule ulafini ameamua kuwatoka kitambo na amekuja katika jamii na huu ni udhibitisho tosha kwamba ni mwanainchi mpenda wanainchi wake!
Hata kama ameokota,ameikuta yeye kwa kuwa si fisadi ameamua kuitangazia umma! Kazi kwako mtumwa zomba
Umeokota, umeikuta?
Hata kama ameokota,ameikuta yeye kwa kuwa si fisadi ameamua kuitangazia umma! Kazi kwako mtumwa zomba