NIMEOKOTA laptop

kumbe bado watu wa hivi wanaexist??
 
itabidi tukutest wewe kama huna maambukizi makali

ha ha ha..wewe ndo umetoa accusation hapo juu kuwa mademu wa jf wana gono kali..mie nikadhani ur talking from experience..si unajua aisifuye mvua......
 
We Bujibuji, hii unatakiwa kulipia gharama za kutangaza namba ya cmu yako. Maana mimi naona hii umeitumia kama njia mdala ya Love Connect !!!
 
Last edited by a moderator:
unastahili sifa mkuu. najua kila mtu atasema kivyake lkn ukweli ni kuwa mmebaki wachache sana dizain yenu.
 
Kama umeokata unamtafuta mwenye nayo wa nini?kiswahili nacho shida!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kama amesahau una haki ya kumpa, lakini amesahau ukasema umeokota, vipi kama ungeokota kweli?
 
ya kwangu kaka naja kuichukua
 
mkuu BujiBuji hiyo ni janja janja,hiyo thread kweli itabidi iamie kwenye love connect huko ndo utawakamata vizuri,usingetoa hiyo namba ya cm we ungesema aku PM,huyo lady mwenye hiyo laptop nawe kilaza tu wala aliacha makusudi ili kesho(leo) muonane vizuri, teeeeeh teeeeeeeh teeeeeeeh! teeeeeeeeeh!
 
mtumie PM km kweli alijitambulisha

hapa kuna watu wataingia mtegoni tu bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…