NIMEOKOTA laptop

NIMEOKOTA laptop

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,431
Jamani, aliyepoteza mini laptop yake anitafute.
Nilikupa lift jana jioni maeneo ya Posta, kwa bahati mbaya ukaisahau laptop yako kwenye gari yangu.
Kwenye mazungumzo yetu ulijitambulisha kuwa wewe ni JF member, uliteremka mitaa ya Morocco
kama unajihisi wewe ni genuine owner wa hiyo laptop just call me on 0717454455
 
hahah mkuu Bujibuji tegemea leo kuwa telephone operator karibia siku nzima...hata vile vimwana vilivyokua vinakumendea vimepata kontakti heheheh
 
Last edited by a moderator:
aiseeee babaangu mi mimi 2lionana poster naomba unitumie kwenye m-pesa sasa nipo rombo
 
Jamani, aliyepoteza mini laptop yake anitafute.
Nilikupa lift jana jioni maeneo ya Posta, kwa bahati mbaya ukaisahau laptop yako kwenye gari yangu.
Kwenye mazungumzo yetu ulijitambulisha kuwa wewe ni JF member, uliteremka mitaa ya Morocco
kama unajihisi wewe ni genuine owner wa hiyo laptop just call me on 0717454455
Hujaokota bana!..imesahauliwa kwenye motokaa yako!
Heading yako ina matata, japokuwa maelezo yametulia!
 
Haha..bujibuji...umeokota laptop iliyoachwa ndani ya gari lako (most probably very spacious car..sio vitz ambayo ukikaa lazima upakate mizigo yako) na mtu wa makamo!!!!
Umejaribu kuiwasha? huenda ukapata njia mbadala ya kuwasiliana naye!
 
God bless you kwa uaminifu wako,aliesahau ajitokeze jamani.Kumbuka kuleta feedback pia kama mwenyewe amepatikana.
 
Mini Laptop tunarudishaga tu...
ila nikiokota apples's macbook...kimyaaaa!
 
Usijali kijana, ni mimi...!!! bali nilikuachia tu, kutokana na ukarimu wako.
 
Back
Top Bottom