Nimeoa single mama

Sijaelewa ulichoandika. Naona hakihusiani na nilichokiandika. Nachomaanisha mimi ni kuwa watoto waliozaliwa kutoka kwa mama mmoja hao ni ndugu kiasili na kisharia.

Hayo mengine naona hayanihusu.
 
Mmmmhhh hapo pa kumuacha mtoto kwa bibi yake sijapendaaaaaaaaa...
 
Anakuvuruga tu. Watoto unaowazaa wewe hao ni ndugu wa damu kabisa wao kwa wao. Waswahili tunasema ni ndugu wa mama mmoja. Ni uterine brothers (uterine siblings).

Sawa nimekuelewa
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Tatizo sio mtoto...tatizo huwa mnarudi au kuchepuka na mliozaa nao mwanzo....akili zenu mnazijua wenyewe
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Peleka malalamuko kuleeee👉👉
 
Hapa mzee umechemka


Kumbuka nusu ya vinasaba vya mtoto hutoka kwa mama.

Kifupi Mume hutoa XY na Mke hutoa XX
Ili aundwe mtoto inatakiwa single DNA filament itoke kwa baba na nyinge itoke kwa mama ili mtoto akamilike
.

Hivyo watoto wanaozaliwa tumbo Moja na mbegu toka kwa Wanaume tofauti basi jua hawa huwa Wana relate kwa 1/2 na Ile nusu hawahusiani kabisa.

Ndio maana Wazungu wanasema half brother au half sister wakijua only their connection is 1/2.

Wanakuwa ndugu ila sio complete na tatizo jingine mayai yenyewe Yana vary kwenye genetics zao.

Bila kujali phenotype za hao offsprings zilivyo
 
Watu mnamaneno ya shombo humu, eti kwamba ana mikosi kisa tu kaoa single maza. Mie hata leo ikitokea la kutokea labda nimefikia muda natakiwa kuoa upya nitaoa single mother. Hawa watu wana akili sana kwenye maisha.
Bro acha ujinga akili za maisha ukategemee za mwanamke tena single maza🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza single maza hana akili maana aligegedwa pasipo kuwa kwenye ndoa na kama aliolewa na kuachika basi pia hana akili. Anafaa kwa matumizi ya nyege tuu🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja akishakizalia na ww ndo utaona sasa hicho kitoto cha miaka mbili kinaletwa hapo na utaambiwa fukuza wote sasa wako na wangu .
Acha kubeep mzee apo umetegewa kabomu
Huyu jamaa akubali hapo tayari ameliwa kichwa.

Kwenye karata tatu, tayari kalamba chafu hivyo ajiandae kuwa punda wa dobi
 
Huyu jamaa akubali hapo tayari ameliwa kichwa.

Kwenye karata tatu, tayari kalamba chafu hivyo ajiandae kuwa punda wa dobi
Afu siku hizi wanaloga na kuloga sasa hiii hii hatari babaa😂😂😂
Hawa watu si wa kuwaamini maana baada ya kuachwa huwa hawaamini tena wanaume hivyo akikupata lazima akutengeneze mapenzi ya bongo movie
 
Wee jamaa daah
?? Una dada mkuu au kwenu mmezaliwa midume tu?
 
Afu siku hizi wanaloga na kuloga sasa hiii hii hatari babaa

Hawa watu si wa kuwaamini maana baada ya kuachwa huwa hawaamini tena wanaume hivyo akikupata lazima akutengeneze mapenzi ya bongo movie
Hii ya kuroga sio single mother pekee ake, hata hawa ambao hawajaolewa ila mile zimesogea, wakiangalia mapenzi ya kwenye TV basi wanatamani iwe hivyo hata kwake basi wanaona mbinu pekee nikuturoga tu. Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…