Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

Muombe mfanye meeting ya kifamilia na umwambia unataka kumfundisha mambo mengi ya 6 x 6 awe tayari kupokea maujuzi na mautundu
 
Yaaani hili la wakasikazi kudanganya wana BK sijui wanafundishwa na nani.???? Kuna mdada alinidanganya takribani two years nikaja kukuta bonge la mtaroooo wenyewe umefulika kama mto Nile. Hazijipita siku rafiki yangu kaingizwa cha kike maandishi ya kichina afu hajafaaa marapa!!!!!! Akakuta Mtaro umefurika.
Jamani wadada punguzeni huongo wa kijinga unawakosti. Ukimuuliza Bk iko wapi anaangalia uvunguni. Kwani mnazifichaga chini ya vitanda? Mnakera. Hamna kitu kinakera kwenye mausiano kama hiki. Hisia zoooote zinapotea
 
bora wewe umekaa nae miezi sita,mimi nilikaa nae miezi miwili,ndoa iligharimu more than 10mil.kuja hataki kutoa mzigo nikaamua kumpiga chini.sidhan kama nitaoa tena ila nataka nitafute take away tu.kiufupi nmechanganyikiwa bora take away

Hivi inakuwaje unaoa bila kutest jamani
 
bora wewe umekaa nae miezi sita,mimi nilikaa nae miezi miwili,ndoa iligharimu more than 10mil.kuja hataki kutoa mzigo nikaamua kumpiga chini.sidhan kama nitaoa tena ila nataka nitafute take away tu.kiufupi nmechanganyikiwa bora take away

Dah yaani umemuoa halafu hataki kukupa mzigo pumbafu sasa alijua umemuoa ili muende kuishi kama kaka na Dada.
Hivi vitu kumbe vipo aisee inashangaza sana.
 
Khaaaaaaaaaaaaaaaa! Asprin ukuje uelezee umma bikra yangu ulivyonitoa hali ilikuaje??? Khaaaa gfsonwin upo??
 
Last edited by a moderator:
Bikira kwa sasa si kigezo cha kuoa maana hazipatikani kirahisi labda kwa watoto wa chekechea. Wewe kubali umeshadanganywa kwa hiyo sahau yote anza mapya wewe akikupa mzigo piga gwaride la kutosha usimle kilokole maana antaka kupretend kama hajui kitu vile
 
Yaaani hili la wakasikazi kudanganya wana BK sijui wanafundishwa na nani.???? Kuna mdada alinidanganya takribani two years nikaja kukuta bonge la mtaroooo wenyewe umefulika kama mto Nile. Hazijipita siku rafiki yangu kaingizwa cha kike maandishi ya kichina afu hajafaaa marapa!!!!!! Akakuta Mtaro umefurika.
Jamani wadada punguzeni huongo wa kijinga unawakosti. Ukimuuliza Bk iko wapi anaangalia uvunguni. Kwani mnazifichaga chini ya vitanda? Mnakera. Hamna kitu kinakera kwenye mausiano kama hiki. Hisia zoooote zinapotea

Ha ha ha ha dah watu mnaingizwa vyoo vya kike kila kukicha.
Huyu jamaa kinachomsumbua na kumuumiza hasa ni kuikosa bikra full stop.Suala hili limemfanya amchukie sana mkewe na limeondoa upendo woooootee aliokuwa nao kwake.
Lazima tufahamu sisi wanaume,mtoto wa kike anayetaka ndoa na anajua kabisa unataka bikra na yeye hana lazima atakwambia anayo tu halafu atajifanya msubiri mpaka ndoa coz anajua huwezi muacha ukishamuoa.
Poleni sana waathirika wote wa kudanganywa bikra hewa.
 
Mfundishe unavyotaka....kwanza kosa kubwa ulioa ili uone bikra siyo? Imekuja kinyume na matarajio yako tayari ni doa kwako hata angejipinda vipi bado hiyo kitu ingekuwa kero.

Uwoga unamtesa naye imekuwa kinyume na matarajio yake,hana raha kwa yale yaliyomtokea.

Unaposema kopo una maanisha nini labda? Tayari unatafuta weakness zipo wapi? Si hilo tu utaona na mengine mengi endelea kuzitafuta tu.

Mwisho put the past behind you,matarajio yako yote tupa kule,anza upya,onyesha upendo kwa mkeo,mfanye afurahie sex asione ni msalaba kwake,piga romance sana before nyama kwa nyama,kabla ya faragha hakikisha mood yake iko poa. Mwisho mfundishe ile namna unayotaka,mfundishe kidogo kidogo,kila siku mpe style moja,muelekeze wapi ukiguswa unafurahi, utaona na yeye anavyofunguka,kuza kuku wako mwenyewe uje ufaidi mayai.

Hakuna kitu hapo huo ni ulaghai mtupu.na ni kwanini binti adanganye yeye ni bikra??!!! yawezekana jamaa alikuwa na malengo yake kwamba ni lazima aowe mwanamke bikra!!!!!maana huenda na yeye alijitunza kwa ajili hiyo!!!!! hapo hakuna ndoa ila karaha tupu....
 
Habari zenu wakuu.

Nimetoka kuchukua jiko la watu wa kabila moja kubwa kaskazini huko hasara tupu kwa kweli tulikua kwenye uchumba zaidi ya miaka 2 unusu aliniambia ye b/k kwahiyo nimvumilie hadi ndoa ndo 2ta duu nikamkubalia.

Kweli tumefunga ndoa miezi sita sasa imepita sijakuta cha bikra wala birika nimeambulia kopo la kufa mtu, pili gogo hajigusi hata kutoa mguno wa uongo kitandani kama nimenunua sex dol vile, hataki kufanyiwa love play, hataki massage kwa ufupi nimeula wenye uzoefu hivi atakuja kubadilika?

Wadada wa kichaga ndo mlivyo au ananiigizia?

Nenda jando afu uachane na sigara, uone km hakutoa miguni na ulimi mfululizo
 
Hakuna kitu hapo huo ni ulaghai mtupu.na ni kwanini binti adanganye yeye ni bikra??!!! yawezekana jamaa alikuwa na malengo yake kwamba ni lazima aowe mwanamke bikra!!!!!maana huenda na yeye alijitunza kwa ajili hiyo!!!!! hapo hakuna ndoa ila karaha tupu....

Bikra zinatoka kwa njia nyingi unajua hilo? Tuachane na hilo kama umesoma vizuri wala hata na yeye siyo bikra alishapiga show nyingi sana ndo mpaka kakutana nahuyo gogo na kujua madhaifu yake. Kama umefuatilia vizuri maelezo ya jamaa baada ya kukosa hiyo bikra amekuwa akimsema mkewe kimafumbo tayari lazima ilete uoga kwa mke na hawezi kufurahiwa tendo hilo kabisa ndo maana anasoma gazeti juu jamaa akimaliza amfunikie amuachie puchi yake.
 
Back
Top Bottom