Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

Hebu elezea kwa kina tendo lenu linaanzaje? maana nikivuta picha naona ni wale hata busu wanakwepa anafumba mdomo kama unataka kumlisha sumu, kasha anabana miguu kama anazuia mkojo.

Usimgegede hadi aulize sabbu, ksha mpe ukweli, then mwache tena kwa muda. baaada ya hapo atalainika.

Halafu umeoaje Kijijini, Wanawake wa kijijini wana miguvu, akiyajua utakoma

alinishangaza siku moja nikamshika kidevu chake nipate kubadilishana nae mate alichokifanya yani mpaka gun huku chini lika zima vuup yani nilichoka aisee
akatoa mkono akageuka akanipa mgongo akasema
"unamsogezea nani mdomo wako sitaki hata mara 1 kwanza sijazoea nakushangaa unang'ang'ania tuu'' hapo ndo nikasema sipo peke yangu nan alikua amemzoea vingine?
 
Si wote........................... mimi nimejisevia binti mbichi.

Kwenye show full cooperation hadi sometimes naomba PO/TUI.

Cha msingi mwelekeze/mfunze taratibu. Tatizo ni kuwa wachagga wengi wame-associate hili suala na dhambi.

Binti tangu akiwa mdogo anajua ni dhambi. Kuna uwezekano wa saikolojia kuathirika.

Hii ni tofauti na uzaramoni, mtoto wa kike anafunzwa kuwa hiyo kitu ni tamu!

ulivyoongea mkuu ni kweli kabisa nahisi huyu wangu amejazwa mafunzo hayo
 
Watu wa Kaskazini hulelewa katika mazingira ya kubanwa banwa ,bwana asifiwe kwa sana ukijumlishia na wazazi wao kuwapeleka shule mpaka mavyuo vikuu husababisha wakose uzoefu/utaalamu tangu wabalehepo ,mwishowe hudumaa kimapenzi. Pwani watu hawabanwi banwi,wakibalehe exposure inakuwa ya kutosha,akifika 18 anakuwa ameiva balaa. Hiyo ni kwa wanaume na wanawake.
 
wakuu,
kingine hataki kuvaa hata night dress bora ambavo sijanunua mimi alipewa zawadi na dada zangu mawifi zake
ye anapiga pichu na hanaona haitoshi anaweka na taiti juu tena zile ndefu na kanga ndo analala
nikimuuliza vp? Oooh unataka sana bhana
 
Usipende kuoa demu bikra huyoo hakufai na changamoto hanaaa bikra wachie under 18 angalia sana makabila mengine sio fani zao hzo
 
Back
Top Bottom