Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Nauliza tu love play ndo nn????????
fore-play...
Nauliza tu love play ndo nn????????
Poleee, angalia maneno yako pengine yamekuwa sumu kwake,wewe ni mwanaume bwana huwezi kushindwa kumleta mkeo kwenye mood,unajua sisi wanawake sometime ni kama watoto tunajali sana macare kuliko chochote ukifaulu eneo hili basi mbona utafaidi.
habari zenu wakuu,
Nimetoka kuchukua jiko la watu wa kabila moja kubwa kaskazini huko hasara tupu kwa kweli
tulikua kwenye uchumba zaidi ya miaka 2 unusu aliniambia ye b/k kwahiyo nimvumilie hadi ndoa ndo 2ta duu nikamkubalia
kweli tumefunga ndoa miezi sita sasa imepita
sijakuta cha bikra wala birika nimeambulia kopo la kufa mtu , pili gogo hajigusi hata kutoa mguno wa uongo kitandani kama nimenunua sex dol vile,
hataki kufanyiwa love play , hataki massage kwa ufupi Nimeula
wenye uzoefu hv atakuja kubadilika? Wadada wa kichaga ndo mlivyo au ananiigizia?
naskiaga most of them ndoivo ila mi sijui kwakweli ..... narudia tena NASKIAGA.
bora wewe umekaa nae miezi sita,mimi nilikaa nae miezi miwili,ndoa iligharimu more than 10mil.kuja hataki kutoa mzigo nikaamua kumpiga chini.sidhan kama nitaoa tena ila nataka nitafute take away tu.kiufupi nmechanganyikiwa bora take away
Umetaka tu kuwazalilisha wachaga if you really love her mfundishe sio kukimbilia huku jf
Nauliza tu love play ndo nn????????
Ahaaa basi una bahati mbaya maana siku hizi mabint wa kichaga ni wataalamu wa malavdav wanazungusha viuno utazani feni wana milio mizuri utazani ndo first time sasa wew uliempata i think ata angekuwa wa Bukoba angekuwa hivyo hivyo
Kwenye milio hapo nakupa:thumbup: za kumwaga,lkn hapo kwenye miuno hapo 😕
Mpige katerelo uone kama hatatoa miguno,kulegeza kiuno na kuanza kutikisa!
UKITAKA VITUZ....TOA VITUZ!
Hahahaaa yawezekana maana haiwezekani mtu akatae
ka ndo hivyo interview inahusika... nshaogopa mwenzio!!
ila kweli wachaga wavivu kutandani ila kwa kutaka pesa hajambo taka lkn ifanyie kazi
bora wewe umekaa nae miezi sita,mimi nilikaa nae miezi miwili,ndoa iligharimu more than 10mil.kuja hataki kutoa mzigo nikaamua kumpiga chini.sidhan kama nitaoa tena ila nataka nitafute take away tu.kiufupi nmechanganyikiwa bora take away