bukkede Tz
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 182
- 26
wanawake wa kichaga ni janga la mapenzi hatua kali zinabidi zichukuliwe hili halivumiliki kama escrow
Mpige katerelo uone kama hatatoa miguno,kulegeza kiuno na kuanza kutikisa!
UKITAKA VITUZ....TOA VITUZ!
habari zenu wakuu,
Nimetoka kuchukua jiko la watu wa kabila moja kubwa kaskazini huko hasara tupu kwa kweli
tulikua kwenye uchumba zaidi ya miaka 2 unusu aliniambia ye b/k kwahiyo nimvumilie hadi ndoa ndo 2ta duu nikamkubalia
kweli tumefunga ndoa miezi sita sasa imepita
sijakuta cha bikra wala birika nimeambulia kopo la kufa mtu , pili gogo hajigusi hata kutoa mguno wa uongo kitandani kama nimenunua sex dol vile,
hataki kufanyiwa love play , hataki massage kwa ufupi Nimeula
wenye uzoefu hv atakuja kubadilika? Wadada wa kichaga ndo mlivyo au ananiigizia?
Huyo lazima atakuwa mkibosho au mmachame maana ndo zao wale...afu wanapenda mtori na mchemsho kabla ya shughuli
Hawa watu sijui wakoje!? Nilikuwa na mchaga mmoja january ni gogo, gogo haswa...nilipiga chini aisee!!
ila katika 10 wa kaskazini..... mmoja ndo atakuwa mtundu tena kwa pombe ila umkute hivhiv na akili zake ni balaa
yani nimechoma pesa ila haikuzidi ml 6 na uchafu hivi yani
Mkuu ukikutana na gubegube lililoshindikana ni shida sana. Ni kuomba tu ukutane na yule mwenye hulka ya kusikilizana na kukubali kubadilika. Ukikutana na wa tofauti uanaume unafika sehemu haufanyi kazi. Ni sawa na moto unawaka vizuri lakini kinachopikwa ni mawe.Wanawake walamike na wanaume walalamike? What a shame?
Wanawake wamewekwa mikononi mwetu tuwainfluence tutakavyo sisi wawe na huo uwezo tunao. Unapoacha kuutumia ukaja kulalamika, unakua huitendei haki hii taasisi ya Uanaume. By any standard ya Uanaume, Una shida kwa binafsi yako kwanza pili ni huyo mwenza wako.
kama hujaridhika na kigezo ulichokuwa unategemea achana nae wapo weng mtaani wa kufanana na wewe na wenye sifa unazotaka.ukiona mwanaume hadi anatamka ya ndani basi kweli umeumia, la msing achana nae hautodumu nae na hata ukikaa nae utakuwa unalazimisha upendo ila kimoyoni humpendi na hiyo itakusabishia kuchepuka na kupata magonjwa ambayo usingetegemea kuyapata na hata maendeleo yenu hayatapatikana kwa haraka kwa sababu mmoja wenu analazimisha kuish na mtu pasipo moyo wake kupenda
Sio kweli wanawasingizia tu.
Hakuna binadamu mkanilifu, kila mtu ana mapungufu yake bt mkielekezana kila kitu kinakua mwake, unakuta hata ungesema uoe kabila lingne unakuta kitanda yupo poa bt mambo mengne hopeless, hivo usijutie mueleze kistaarabu mkiwa wote kwa mud atakuelewa, bt upande wako pia yawezeka kuna vitu unamboa, may be unanuka mdomo au unakijasho kibaya kinasmell yote yawezekana.
pelekesha pumba zako huko,huna adabu kabisa mambo ya chumbani unashindwaje kumalizana nae?
fore-play...
ni muvi kwenye dividiii...