Mfundishe unavyotaka....kwanza kosa kubwa ulioa ili uone bikra siyo? Imekuja kinyume na matarajio yako tayari ni doa kwako hata angejipinda vipi bado hiyo kitu ingekuwa kero.
Uwoga unamtesa naye imekuwa kinyume na matarajio yake,hana raha kwa yale yaliyomtokea.
Unaposema kopo una maanisha nini labda? Tayari unatafuta weakness zipo wapi? Si hilo tu utaona na mengine mengi endelea kuzitafuta tu.
Mwisho put the past behind you,matarajio yako yote tupa kule,anza upya,onyesha upendo kwa mkeo,mfanye afurahie sex asione ni msalaba kwake,piga romance sana before nyama kwa nyama,kabla ya faragha hakikisha mood yake iko poa. Mwisho mfundishe ile namna unayotaka,mfundishe kidogo kidogo,kila siku mpe style moja,muelekeze wapi ukiguswa unafurahi, utaona na yeye anavyofunguka,kuza kuku wako mwenyewe uje ufaidi mayai.