Nimeoa mke bikra ndoa imevunjika miezi sita

Nimeoa mke bikra ndoa imevunjika miezi sita

Wakuu Habari zenu kuna jamaa yangu mtu wa visiwani muajiriwa sekta binafsi sasa kutokana na umri kusogea akaws anahitaji wife ikabidi akaoe kwao visiwani zenji akajipatia mke bikra wakaa kwenye uchumba miezi 6 bila kukutana kimwili wakaamua kufunga ndoa ya kiislamu baada ya ndoa wakaanza maisha kwenye nyumba ya wazazi wa jamaa maana ilikuwa kubwa wakampa chumba jamaa sasa tatizo linakuja binti hataki kushiriki kingono na jamaa baadaa ya kutolewa bikra anadai hana hamu naye,kampa wiki mbili tena kwa mbinde kuna Siku jamaa alishika kisu anamtishia binti ampe mpaka akafanikiwa kumuingilia,kuanzia hapo jamaa kila akijarobu kuomba gemu kwa binti hataki binti anakuwa mwekundu hataki kuguswa na jamaa,ikabidi jamaa ampige talaka binti japo jamaa kamuoa kwa Mali ya million moja na wazazi wa jamaa wakawatenganisha vyumba hawataki binti arudi kwao maana wameoana mwezi wa sita mwaka Jana,je binti ana tatizo gani mpaka anakataa kushiriki tendo la ndoa kiumri ana miaka 18 na jamaa 26
Tusaidie kumuuliza dada shida iko wapi halafu tuletee majibu. Usitupotezee muda mkuu, wakati majibu unaweza kuyapata kwa mhusika
 
Bora alivyotoa talaka mapema, kumnyima tamu kamshikia kisu .Siku kafanya kosa lingine si atamkata sikio
 
Kuna watu naturally tu sio wapenzi wa ngono.. Yaani ashiki zao huja mara moja moja sana... Lakini siku akitaka... Mwanangu jipange atataka kweli
Kingine ni haya mazoea ya kulinda bikira kwa kuingiliwa kinyume... Sasa unapokuja kubikiri bila kujua mwenza wako alishaharibika kitambo na hayuko tayari kukwambia ukweli, shida huanzia hapo...

Cha mwisho ni kile tunaita first sex experience... Binti bikira anapaswa kupata maandalizi yote muhimu kabla ya kumuingilia.. Kwakuwa hii ni mara yake ya kwanza lazima atakuwa muoga sana... Hivyo ukikosea hapa.. Tambua umeharibu pakubwa mno... Hatakaa akuwe na hamu na wewe tena

Jr[emoji769]
Sasa mkuu demu alikuwa bikra kabisa hajawahi kushiriki huyo michezo ya kuoa tigo,dah kuna Siku jamaa anapiga show na demu,demu akachomoa mkunyenge akamng'ata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Zanzibar huwa wana kuwa na Bikira za mbele lakini wakati huo huo wana kuwa hawana bikira ya Nyuma

Maybe mke alikuwa anajaribu kumpa jamaa green light ...lakini ndio hivyo tena Jamaa yako ana tatizo la kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke sio member wa huo mchezo,mke anasema labda karogwa na jamaa aliyemkataa kipindi cha nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ilikuwa ya shabu na malimao sasa jamaa kachana chana kila kila humu ndani limebaki donda ndugu
 
Heading inasomeka nimeoa ( yaan wewe) content inasema jamaa yako
 
Kuna ndugu yangu alioa bikra, hadi honeymoon hajaona ndani. Alienda naye polepole hadi siku alipofanikiwa kuchana nyavu ilichukua muda. Sasa hivi mwanamke huumwambii kitu kwa mchizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ndugu yangu alioa bikra, hadi honeymoon hajaona ndani. Alienda naye polepole hadi siku alipofanikiwa kuchana nyavu ilichukua muda. Sasa hivi mwanamke huumwambii kitu kwa mchizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tunadhani kutoa bikira siku moja ndo ujanja,ule ni ujinga tu ambao unamfanya mwnamke achukie tendo from that beginning

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafuasi wa Bikra tupo hapa.

Jamaa yako ni mzoea vya kunyonga kamwe hawezi vya kuchinja.

Mzoea mizoga kamwe hawezi fresh meat.

Mwanamke bikra unamshikiaje kisu?
Bikra pia haitoki siku moja. Bikra hutoka zaidi ya mara tatu.

Alichotakiwa kufanya ni kumbembeleza. Inaonekana wewe au huyo jamaa yako hajui mwanamke ni nani.

Shukuru amepata bikra. Angepata hawa wengine wangemuacha yeye na kutafuta mwanaume mwingine.

Wewe kama huwezi kumfikisha Mwanamke bikra utaweza kuwafikisha magume gume?
 
Ukisema jamaa mchafu hyo haina maana maana binti asingekubali kuolewa na jamaa
Inaonekana jamaa yako anakasoro labda. Mchafu, muongeaji sana au anatabia flani flani ambazo zimemfanya binti asiwe na mzuka na jamaa/wewe.

Kuokoa hiyo ndoa kwanza hama nyumbani kwa wazazi wako, pili muandalie mazingira ambayo ni romantic sana sio kuforce tu mapenzi. Inaweza kuwa binti alivyotegemea kakuta tofauti, so inabidi atengenezewe mazingira ya kukubaliana na hali.

Nimeshauri hivyo kwasababu ni ndoa. Ingekuwa sio ndoa ningekuambia achanane tu. But ndoa na iheshimiwe na watu wote..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom