Nimesoma maushauri mengi sasa nimeziba mawazo. Sasa ni hivi;
Kwanza, Hongera kwa kumkuta binti 18 yrs bikra. Sio mchezo. Zenj kumpata binti wa kihivyo basi ni muujiza. Nasema hivyo kwa sababu, wazee wa kule bakora iko karibu katika kumtunza mwali.
Sasa huyu bwana kaokota dodo chini ya mnazi yakhee. Mwambie, alimenye pole pole tu. Utamu wa dodo kumenywa, ukila na magando hakuna utamu hapo. Hivyo amwendee taratiibu, hata ikiwezekana amwambie kungwi amsemee. Kumrudisha kwao hakumfungulii moyo wa binti.
Pili, Jamaako kakaa sana nje ya kwao Zenj. Mambo za kule hazijui tena. Tena yaonesha kabalehe nje ya mkoa hivyo hayajui tena ya kule. Zenj sasa hivi hawana haja ya kutumia kinga kwani huridhishana kivingine. Visichana vya kule haviangalii huyu ni baba, babu au kanizidi umri. Wao, njia ya pili iko wazi. Sa kama alimtunzia ubikra halafu anaona kuwa njia hiyo haifurahii tena, si amzoeshe kitaratiibu huku akifanya kwengineko??
Naona, wazo la kumrudisha kwao huku keshamtoboa si halal wala si hakhiii. Huyo afe na msala wake