Yoranda
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 341
- 339
Wote ni watoto wadogo, hilo ndioo maweza anza naloAmeathirika kisaikolojia baada ya hilo tendo na mbaya zaidi kwa huo umri bado hajakomaa kihivyo.
Huyo mwanaume haitaji kutumia nguvu, awe nae karibu na awe anambembeleza na kuongea nae kuhusu yaliyotokea. Anahitaji muda na upendo atakuwa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn pia, jamaa hajui mambo mangi ya ubaba, kuwa mume, kuwa na familia. Anatakiwa asogeesogee akaribie 30 au zaidi. Hataweza kuishi naye hata angekubali kupigwa risasi za mashine ya kichwa cha chini.
Huyo bwana alitakiwa aoe mke mwenye umri ulioenda ili wazinguane apate kuelewa.
Kikubwa anachokikosa mjamaa ni maturity