Nimenyimwa unyumba niende nikashtaki wapi

Nimenyimwa unyumba niende nikashtaki wapi

Yalishanikuta sana,ktk njia nilizoapply zikaleta majibu sahihi ni hii,
Niliwaza kuchepuka nikumiza hisia zangu
Nilitumia nguvu nikaishia kupata aibu maana vurugu wakati wa suruhu ilibidi kuhadithia chanzo,
Nililazimisha na nikatoa dozi kubwa lkn niliishia kuumia
Lkn nilipojifanya sijari
Haraka kabisa MTU karejea kwenye reli
Hongera kwa kutoa ushauri bora....Agiza Bia kwa Mangi nakuja lipa
 
anza kuilaumu serikali kwanza si ushashiba magimbi
 
Afate ushauri huu
Mkeo akikunyima unyumba kwa sbbu yyte ile,iwe kwa wewe kusababisha ama yy kusababisha,usirogwe kumbembeleza,kulazimisha wala kuonesha huzuni utadhani jambo kuuubwa,
Akikunyima jikaze kimyakimya,chukulia poa,jifanye km na wewe hauhitaji kihiiiivyo,kaza moyo zuia tamaa ya ngono utaona matokeo,
Akikunyima ukatetereka inakuwa ndo fimbo ya kukupigia kiiiila Mara,
Akikunyima ukachukulia poa anaumia na kujiina mjinga,
Mwanamke anaemnyima unyumba mumewe ni km mchawi tu,
Usimuhurumie,
Wazo la kuchepuka siyo sahihi maana dhambi ni juu yako,magonjwa ni juu yako,matumizi mabaya ya muda na pesa ni juu yako
 
Anza kwa beki3 ikishindikana nenda kwa mjumbe awe mwanamke lakini na Kama mwanaume awe na vibinti vizuri
 
Wakuu Leo ni siku ya tatu shemeji yenu yaani mke wangu kaamua kuficha uchi,Sasa sitaki kutumia mabavu Mana nitakua Kama nabaka
Nipeni ushauri niende ustawi wa jamii au dawati la jinsia?
Ongea na mke wako mkuu wangu.

Anakupenda sana, ila tatizo unamchosha mnoo .

Badilika
 
Wakuu Leo ni siku ya tatu shemeji yenu yaani mke wangu kaamua kuficha uchi,Sasa sitaki kutumia mabavu Mana nitakua Kama nabaka
Nipeni ushauri niende ustawi wa jamii au dawati la jinsia?
Mke mmoja hudumaza akili
 
Lazima kutakuwa na sababu ungeweka wazi ili uweze kupata ushauri mzuri.
 
hii Mada ingekuwa tamu Sana kama shemeji naye angekuwa humu ndani.... "kwa heshima kubwa ningempisha kwenye kiti akaee then atupe ya moyoni nahsi kaka mkubwa kwa maneno yake....ungesusiaa kikao[emoji23][emoji23][emoji23] kabla hakijaishaaaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata Mimi naona ingekua ivyo ingependeza sana
 
Back
Top Bottom