Nimenyimwa unyumba niende nikashtaki wapi

Nimenyimwa unyumba niende nikashtaki wapi

Lazma unyimwe unyumba kama mambo yenyewe ndiyo haya...
25878075_0_3106fb341e48e3c7f434467e7efa7eeb.jpg
 
Mkeo akikunyima unyumba kwa sbbu yyte ile,iwe kwa wewe kusababisha ama yy kusababisha,usirogwe kumbembeleza,kulazimisha wala kuonesha huzuni utadhani jambo kuuubwa,
Akikunyima jikaze kimyakimya,chukulia poa,jifanye km na wewe hauhitaji kihiiiivyo,kaza moyo zuia tamaa ya ngono utaona matokeo,
Akikunyima ukatetereka inakuwa ndo fimbo ya kukupigia kiiiila Mara,
Akikunyima ukachukulia poa anaumia na kujiina mjinga,
Mwanamke anaemnyima unyumba mumewe ni km mchawi tu,
Usimuhurumie,
Wazo la kuchepuka siyo sahihi maana dhambi ni juu yako,magonjwa ni juu yako,matumizi mabaya ya muda na pesa ni juu yako
 
Hamjui tu...!ukute unamboa kitandani..bora akae na utamu wake..au ana mimba..au ana stress..au una gubu sana kama La Magu..

yote kwa yote nenda kwa Makonda anapenda kesi za hovy hovyo kama hizi..au km uko mikoa ya nyanda za juu za kusini nenda kwa Mkuu wa mkoa qa Mbeya..Chalamila..!
Hamtoshelezi!

Hamna kitu kibaya ka uyaamshe mapepo ya mwanamke alafu ushindwe kuyatuliza
 
We mzee wewe demu kama ana stress hakupi mzigo babu...
Ni kama wewe wa kiume stress zikizidi dushe lazma lizingue ogopa sana msongo wa mawazo
Mkiambiwa mle na mfanye kazi mnaona watu wazima tumepitwa na Wakati.

Ukipewa mzigo na mkeo humalizi hata dakika tano chali. Huna chovyo chovyo tuu kama jogoo.

Ukimaliza kibao cha nguruwe haisimami tena hata ipepewe na Panga boya.

Kwa nini asikunyime.

Ukiona mwanamke hakudai Sex ila wewe ndio unadai kila mara basi ujue humfikishi kileleni.

Demu ukimpiga akafika anapotaka. Kila muda atadai hata kama anastress.

Ukimgombeza mtoto analowesha chupi.
Ukitabasami mtoto analowesha chupi.

Yaani akisikia sauti yako mtoto anahamu ya kusex.

Anataka kila mara.

Ukiona Mkeo/manzi yako yupo hivi basi jua anakupenda na pia unamfikisha kunako.
 
hapo utakua huna nguvu za kiume ndo tatizo...na nguvu za kiume zimegawanyika sehemu mbili.1)Mashine 2)hela...ukikosa kimoja wapo lazima ndoa iyumbe
 
Kwahiyo wewe siku 3 tuu unakimbilia dawati la jinsia sijui ustawi wa jamii daah😂😂😂

Hebu badilisheni location ya kitanda chenu hapo chumbani na ile ahadi ya mkeo hebu itimize basiii,.mfyuuu😑
 
Naona umewekewa vikwazo kama Iran.
Labda ana manung'uniko moyoni mwake. Muulize akwambie yanayomsibu then muyamalize... Baada ya hapo utaendelea kupata mzigo kama kawa!
 
Ndo hivo mwenye Jiji kasema mimi nani nibishe


Acha kumdanganya huyu mwenyewe unaemtuma kwake kwanza hana uhakika kama yule mtoto wa kwake, pili na ile wenzere pale nyuma hana lolote ni among wa vibamia kama rafiki yake Lemutuz
 
Mke hawezi kukunyima unyumba bila sababu za msingi,hapo labda shoo zako unapiga chini ya kiwango,au ana hoja zake nyingine za msingi hutaki kuzisikiliza.
da nimecheka eti hoja za msingi mke kaolewa apigwe fimbo hoja za msingi azitoe balaa ya kutafunwa
 
Wakuu Leo ni siku ya tatu shemeji yenu yaani mke wangu kaamua kuficha uchi,Sasa sitaki kutumia mabavu Mana nitakua Kama nabaka
Nipeni ushauri niende ustawi wa jamii au dawati la jinsia?
Nenda kashtaki kwa paroko
 
Wakuu Leo ni siku ya tatu shemeji yenu yaani mke wangu kaamua kuficha uchi,Sasa sitaki kutumia mabavu Mana nitakua Kama nabaka
Nipeni ushauri niende ustawi wa jamii au dawati la jinsia?

Mfano wanajamvi wakikuambia kawaambie wazazi wake, ukachukua ushauri paap kwa wakwe zako, akiitwa kwenye kikao akasema mbele yako kuwa humfikishi ndo utafurahi?
Kaa na mkeo chini bila kushirikisha yeyote mwingine, mdadisi akuambie tatizo lilipo kisha nyie wawili mlifanyie kazi tatizo kuweka mambo yenu sawa. Unless umeshaambiwa au unajua tatizo ndo sasa unataka kwenda kushtaki.
 
Wakuu Leo ni siku ya tatu shemeji yenu yaani mke wangu kaamua kuficha uchi,Sasa sitaki kutumia mabavu Mana nitakua Kama nabaka
Nipeni ushauri niende ustawi wa jamii au dawati la jinsia?
nenda kanisani kwa Dr kkkt anaitwa shoo atakusaidia
 
Back
Top Bottom