KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Vitu nyengine vinatia hasira, ndio maana daktari alimpiga polisi
Mtu hela yako na kuipata mpk usumbuke. Watu wadhulumishi, ndio maana nchi haina hata barka. Kila pahali usununu
 
Terms and conditions ulizisoma?
Lengo la mifuko hii unalijua?
Lengo si kutunza pesa ili uzile mda wowote, lengo ni kukupa ahueni kwenye kipindi kigumu.
 
Terms and conditions ulizisoma?
Lengo la mifuko hii unalijua?
Lengo si kutunza pesa ili uzile mda wowote, lengo ni kukupa ahueni kwenye kipindi kigumu.
Unavyouliza terms and conditions kwani mtu ana options za kuzikataa? Ana options za kugoma kujiunga nssf?

Unakaaje na 10M ya mtu kuanzia ana miaka 26 mpaka anatimiza 60 ili umpe 10M ileile tena kwa mafungu?

Why are you so dense?
 
Wote?
 
Hv itakuwaje kwenye malipo baada ya kustaafu kama mtu alifanya sekta binafsi aka akalipa makato NSSF kwa miaka pungufu ya pension labda mika 10 halafu akafanya kazi serikalini kwa miaka say 8 makato yanapelekwa PSSSF. Mwisho wa ajira after 60 years, mfuko upi utalipa pension kama NSSF na PSSSF haisomani? Mstaafu anaweza pata tabu sana kufuatilia case kama hii.
 
Unavyouliza terms and conditions kwani mtu ana options za kuzikataa? Ana options za kugoma kujiunga nssf?

Unakaaje na 10M ya mtu kuanzia ana miaka 26 mpaka anatimiza 60 ili umpe 10M ileile tena kwa mafungu?

Why are you so dense?
huyo ni chakula ndiyo maana kuweka picha ya mguu wa mwanamke waka ni me. tupo kwenye mjadala serious yeye analeta ushoga hapa
 
sheria ya hifadhi ya jamii inasema mtumishi akitoka NSSF kwenda PSSSF, michango yake yote inamfuta huko PSSSF. ajabu ni kwamba niliwaambia NSSF wahamishie michango yangu PSSSF wakasema haiwezekani kwa sababu mifuko haiingiliani
 

Ukiwa na haki ya kupata fao lako lolote kwa mjibu wa sheria, kwa kuzingatia uko mfuko upi (PSSSF au NSSF), mfuko unaokulipa kwanza unakupatia barua ya kuwa umekulipa fao lako husika. Baada ya hapo, unatumia barua hiyo kwenda kwenye mfuko wa pili kufungua madai yako ili mfuko wa pili pia ukulipe pesa yako.
 
niliwai kuskia ukiwa kwenye mchakato wa kuomba isitokee ukapata kazi apo kati kati ndani ya mwaka mmoja. ivyo ni swala la timing tu.
 
Ni mafao gani ulikuwa umeomba? Ukijibu hili utasaidika vizuri.
 
Nina swali jamani...kuna mradi rafiki yangu alikua anafanya kazi, ulisimama 2020...miaka 6 imepita, pesa zake anaweza kuzipata NSSF au ndio muda umeenda?
 
Oy hebu tusaidiane hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…