Na ukizeeka unakuja kuambiwa zishatolewaga miaka 24 ilyopitaKweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina.
Hoja Yao wanapenda kushauri watu wasipende kuchukua Hela zao kabla ya kustaafu.
Sasa Mimi huwa najiuliza ina maana hawa nssf hawajui kuwa mfuko wao ni watu wa sekta binafsi? Kazi ambazo muda wowote unaachishwa kazi tofauti na wenzetu wa PSSSF walioajiriwa ajira za kudumu?
Nimefukuzwa kazi, nina miaka 36 yaani nisitoe Hela mpaka nije kuzeeka?!
sasa hapa kati naishi vp wakati kazi zenyewe waajiri wengi hawatoi nssf?.
Yeah hawashindwi kaka.Wasiwasi wangu ni kwamba, hata baada ya kufikisha miaka 60 watakuja na stori nyingine kuwa "ulishachukulia mafao yako" au "hatukuoni kwenye mfumo"
Ila ushauri wao wanakwambia usitoe wakati tayari umeshagombana na muhindi kakufukuza.mpaka update kazi nyingine ya kupewa nssf sio leoUkifukuzwa kazi au end of contract hata uwe na umri gani sera na sheria yao inakuruhusu kutoa.
Kisha inakuja kuzingatia una elimu gani.
Kama elimu yako ni kuanzia dip hutoi pesa yote. Unaanza kupewa kwa mafungu, na nyingine unaitoa ukifika miaka 60.
Ni ishu ambayo haimake sense hata kidogo
ndiyo hapo sasa. halafu sisi tuambiwe tusubiri miaka 60Mbunge baada ya 5yrs anapata chake.
Hapana ndugu yangu...Kwa confidence uliyoandika hapa wewe upo nssf au ulishiriki kuipitisha hii sheria.
Wanaweza hao Wala sipingiNa ukizeeka unakuja kuambiwa zishatolewaga miaka 24 ilyopita
Haijalishi,ikigundulika tuu umejiunga na mfuko wowote wa hifadhi ya jamii hata kama madai Yako yamefikia hatua ya mwisho kabisa ulipwe wanayazuia,wako serious sana kwenye hili,hapo Hadi ustaafu tena,ulichelewa sana kuomba stahiki zako,nawafahamu wengi tuu wako kwenye ajira ila waliwahi kuomba mafao Yao mapema mara tuu baada ya kukosa ajira za awali,kwahiyo hapo ni timing tuunilifungua madai kabla ya kupata kazi
Nina wasiwasi piaNa ukizeeka unakuja kuambiwa zishatolewaga miaka 24 ilyopita
Pole mkuu...
wanakaa na hela yetu miaka yote na wanaifanyia biashara na hawatupi riba hata 1%Yeah hawashindwi kaka.
Pia 4M ya leo haiwezi kua 4M nikiwa na miaka 60.
Ni sera ya hovyo hii.
Technically, wapo sahihi.Hapana ndugu yangu...
Mimi ni mhanga wa kero za Nssf, nimehangaishwa sana na hawa jamaa...
Na ofkozi siwakubali japo ningefurahi kuajiriwa kwao maana wanakula pesa ya bure...
Kwenye hii kesi wako sahihi...
Mimi mwenyewe nafuatilia mafao nimeapa nikipata Hela zangu sirudi tena kwenye makazi ya kuajiriwa sekta binafsi.kwa usumbufi huu wa nssf.aisee
Hizi njia ulipita ukiwa umeshaajiriwa na check number umepata au ulivuta kwanza ili kuhandle ishu ya nssf?We jamaa kuna siku nilikuuliza kuwa uliwahi kusema kuwa umepata kazi serikalini ndio maana mafao yako yamechelewa ukabisha kuwa huna kazi serikalini.sasa leo tena unakiri mwenyewe..
Tatizo lako ni muongo muongo sana hata mtu akisema akusaidie inakua ngumu..mimi nilikua na issue kama yako lakini nimepita njia za panya juzi ijumaa mpunga umeingia..
nakufahamu, wewe ni mtumishi wa NSSF, wala usibishe. nilishindwa kusema ukweli kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini baada ya kufungua madaiWe jamaa kuna siku nilikuuliza kuwa uliwahi kusema kuwa umepata kazi serikalini ndio maana mafao yako yamechelewa ukabisha kuwa huna kazi serikalini.sasa leo tena unakiri mwenyewe..
Tatizo lako ni muongo muongo sana hata mtu akisema akusaidie inakua ngumu..mimi nilikua na issue kama yako lakini nimepita njia za panya juzi ijumaa mpunga umeingia..
Ni kweli uko sahihi ila wa kupewa lawama ni kina Baba Levo kule bungeni...Technically, wapo sahihi.
Ila kwa uhalisia wa maisha hapana.
4M waliyobaki nayo kuanzia 2021 mpaka 2061 haitakua na thamani ile ile
wamegomaPole mkuu...
Pesa yako wataihamishia kwenye mfuko wa watumishi wa umma...
Yes,Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.
Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.
Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.
Naomba Msaada wa Kisheria
Wapeleke mahakamani tu 🤣. Haiwezakan h3la ysko alaf wakupangie matumizNina wasiwasi pia
Hilo ni takwa la Sheria brother hawajipangii...wamegoma