Rihana
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 498
- 250
Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!