Nimenunua Bia yenye uchafu. Nikalalamike wapi?

Nimenunua Bia yenye uchafu. Nikalalamike wapi?

Likwidi

Member
Joined
Mar 25, 2019
Posts
89
Reaction score
87
Habari za jioni wakuu,

Jamani naihitaji msaada hapa nimeagiza bia ila nilivoicheki kwa chini kuna kifuniko kipo ndani mule na bia sijaifungia naombeni ushauri nikalalamike wapi wadau?
 
Dili ilo.

Ondoka na chupa kwanza. Kimbia nayo. Hafu ndio tukushauri.
 
Lalamika kwetu Raia. Tuambie ni Bia ya Kampuni gani tuanze mgomo Wa kuinywa ili wajifunze adabu..
 
Utakuwa unakunywa bingwa, balim au castle milk ,,,
 
Habari za jioni wakuu,

Jamani naihitaji msaada hapa nimeagiza bia ila nilivoicheki kwa chini kuna kifuniko kipo ndani mule na bia sijaifungia naombeni ushauri nikalalamike wapi wadau?
Unaniomba ushauri Mimi mpenzi wa mataputapu wakati nimeshakutana na kondom nikaivua halafu nikaendelea kuburudika na kinywaji changu mpaka hapo vyuma vitakapoachia
 
Hakikisha umeiweka sehemu salama alafu ndio ufikiria namna utakavyoikamua kampuni hela
 
Weka picha niko kiwandani hapa nimuonyeshe boss
 
Pole sana kiongozi.
 
Attachments

  • images (23).jpeg
    images (23).jpeg
    9.2 KB · Views: 17
kabla hatujakushauri embu tuambie kwanza ilikuwa ni bia ya ngapi hiyo???
 
Back
Top Bottom