Nimenenepa isivyo kawaida

Huyu jamaa naona kaamua kuja kuchekesha jukwaa tu, Uzito wa 95 kg sio sababu ya maelezo ya hali unayoizungumzia labda kama Height yako ni 80 cm.

Unene unahusianaje na kujisaidia kinyesi kingi?

95 kg ndo zikufanye utumie stick maalumu kutype?
NONSENSE
 
Mkuu punguza stress, watu hawajui kuwa stress nazo zinaongeza mwili.

Na kama unatumia jani/msuba achana nao pia.
 
Tupe ratiba yako ya msosi.pengine tunaweza anzia hapo.
 
Walk walk walk walk. Tembea kila siku 20 km, 10 asubuhi, 10 jioni utakuja niambia baada ya miezi 2tu
Kula protini kwa wingi
Punguza kula sukari na wanga
Kula mbogamboga kwa wingi
 
Nikivua nguo tu mwili unafutuka futuka mpaka nahisi aibu mno kwa mpenzi wangu. Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.
Tatizo ni jina lako, badilisha jina. Huwezi ukawa litutumbwe halafu usifanane na hilo litutumbwe lenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…