Nimenaswa na mke wangu kwenye punyeto

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
843
1,923
Jana mke wangu alitoka tangu asubuhi na mtoto walienda kwa mama yangu kusalimia, I mean wameenda ukweni.

Nilibaki home peke yangu kwakuwa wikiendi huwa sipendi kutoka napenda kukaa ndani familia yangu japo wao waliondoka nilikaa mwenyewe sikuona sababu ya kutoka kwenda kuzurura.

Nilichek movie, nikajifoc kulala mchana ila usingizi haukuja nikaingia mitandaoni mpaka kwenye Mambo ya pono 😂 shetani mngese sana.

Nikajikuta nacheki X mpaka nikashawishika kupiga nyeto, aisee nikala nyeto bao moja nikakojoa kwenye kitambaa changu cha kufutia jasho. Nilipomaliza nikaenda kuoga. Kitambaa nikakisahau pale pale nilipopiga nyeto.

Jioni wife karudi Kakikuta na akajua nimepiga nyeto ila akanyamazaa, usiku wakati wa kulala nataka kumgonga dah akakataa na kuniambia niendelee kupiga punyeto. Nilijaribu kumuongopea ila anakataa katukatu.

Leo asubuhi nipo job akanipiigia simu kuwa anaenda kwetu I mean ukweni kwake (Kwetu mimi kwa mama yangu) Eti mpk nitapomuelekeza kwa undani kwanini nimepiga punyeto.

Na akaendelea kusema endapo sijamueleza vikamuingia akilini atamwambia mama yangu.

Nisaidieni natokaje hapa, Je nitumie mfumo dume au niwe mpole.
 
Ulikuwa unajilipua???

Mwambie ukweli ni hupati enough sex na Huna sex Control ya hisia zako au upo addicted na nyeto...

Hapo anauliza hivyo we muulize last time Ana initiate sex ni lini??atakimbia mita 10000..

Wake zetu wanakuwaga wana act kana kwamba sisi tumewaoa ili tupige nao story..

Hili limeleta migogoro mingi sana kwenye Ndoa.

For men ni food,shelter, clothes na Sex..

Mwanaume cheka nae weeeeee ila kama Sex hamna ujue kabisa mahusiano Are not Stable.Anytime atalala hata na house girl tena huyohuyo Mwanaume unayedhani Anajiheshimu Atakudhalilisha kulala na mdogo wako tumbo 1 kama tu humpi enough sex..

Mume wangu anaweza kuvumilia weeeeee tena Ukome
 
Shemeji yangu ( mke wa kaka yangu) alimfuma mume wake na sms za mchepuko akanuna weeeeeee hadi akaenda kushitaki kwa mama mkwe wake (mama yetu).

Mama alimwambia ukiona mume hajishughulishi na mchepuko ujue hana maajabu kunako mtanange. Akalia weeeeee, akarudi nyumbani kwa mume wake akaongeza bidii kwenye kumpa malavidavi mume wake na maisha yanaendelea.
 
Hii imeenda…
 
Ulikuwa unajilipua???

Mwambie ukweli ni hupati enough sex na Huna sex Control ya hisia zako au upo addicted na nyeto...

Hapo anauliza hivyo we muulize last time Ana initiate sex ni lini??atakimbia mita 10000..

Wake zetu wanakuwaga wana act kana kwamba sisi tumewaoa ili tupige nao story..

Hili limeleta migogoro mingi sana kwenye Ndoa.

For men ni food,shelter, clothes na Sex..

Mwanaume cheka nae weeeeee ila kama Sex hamna ujue kabisa mahusiano Are not Stable.Anytime atalala hata na house girl tena huyohuyo Mwanaume unayedhani Anajiheshimu Atakudhalilisha kulala na mdogo wako tumbo 1 kama tu humpi enough sex..

Mume wangu anaweza kuvumilia weeeeee tena Ukome
Kweli aisee
 
Back
Top Bottom