Nimenasa!

Nimenasa!

Maji yakimwagika hayazoleki wewe komaa na huyo huyo maana kama kulala nae daily umeshalala unataka nini tena na ukute hata girl wako nae amechukua mtu mwingine maana kwa vyovyote zile simu za usiku za kufanya monitoring au za niamshe saa 11 hakwambii ndio maana ukazamia huko kila siku.
 
kwani wakati mnaanza mlikubaliana chochote? maana naona mlipiga story mkagegedana, na kabla yake wewe huna mtu maalumu? maana inaonekana unatumia kifanyio chako kwa kila mtu.

Thts the gud thng...we never agreed on anythng ispokua namuona mwenzang anazidiwa...pia sina mtu kwa maana ya gf....niko na-hang tu kijana mm
 
Kaizer na Asprin hawa vijana wanaitaji kufundwa aisee...wewe hukuwahi kufundishwa kuwa "Usile kuku wa jirani"!?????

HATA kibaka anakushinda yani...kamwe haibi kwao!

Sa iz ndo nimeona inakua na maana...i never thout ingekua mbaya iv....
 
Last edited by a moderator:
Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..

hii ni kwa mujibu wa torati ipi?
 
Wasalaaam....

Baada ya mihangaiko yangu ya huku na kule nimenasa kwenye mtego ambapo kwa kweli nahitaji mawazo tofauti na yangu nijinasue.....

Najua kuna ambao watasema oooh ulijifanya mjanja u-play boy sasa sijui nini...I beg them to spare those shits kwa kweli.....by the way nataka nizeeke na full experience...

Nimetembea na dada ambae tunepanga nyumba moja...tena vyumba milango inaangaliana (walah niliapa kutokufanya hivo ila nilizidiwa ujanja)

Basi siku hiyo aliniita tupige stori kwake...saa 3...mara 4..5..6..wakati nataka kurudi kwangu nikapumzike akashauri tulale wote tu haina shida..baada ya hapo you take a gues....

Uyu dada sina malengo nae it was just a crush!!!...kibaya dada wa watu kanielewa ile mbaya..anataka kila siku tulale wote kama sio kwake basi kwangu.....

To make it short nataka niachane nae for gud...ingawa najua kwake ni ngumu na hatamani kusikia hivo...na nimefanya ujinga coz nimekua kama nimeji-block sababu siwezi tena kuja na msichana akijua anaweza kuingia na mlango..tehe....

Siku hizi watu ni wazembe hata kutumia akili zao kwa mambo ya ndani. Hili nalo la kuleta JF kuomba msaada?

Acha utoto wewe, si uhame hapo ukapange kwingine! Inaelekea kwa uzembe wako huu unapenda dezo sana wewe.
 
Maji yakimwagika hayazoleki wewe komaa na huyo huyo maana kama kulala nae daily umeshalala unataka nini tena na ukute hata girl wako nae amechukua mtu mwingine maana kwa vyovyote zile simu za usiku za kufanya monitoring au za niamshe saa 11 hakwambii ndio maana ukazamia huko kila siku.[g/QUOTE]

Tehe..niko single mkuu...
 
Siku hizi watu ni wazembe hata kutumia akili zao kwa mambo ya ndani. Hili nalo la kuleta JF kuomba msaada?

Acha utoto wewe, si uhame hapo ukapange kwingine! Inaelekea kwa uzembe wako huu unapenda dezo sana wewe.

Sanaaaa...i wish kila kitu kingekua dezo
 
98abe4cac8802ed9db1d48971bf4e9ae.jpg

Yaaaaani..... Kweli kabisaaa...!!
 
kimzaazaa unashangaa unalioa hilo goma bila kupenda...
 
Thts the gud thng...we never agreed on anythng ispokua namuona mwenzang anazidiwa...pia sina mtu kwa maana ya gf....niko na-hang tu kijana mm

basi kula ujana kijana wangu, ila kubalianeni juu ya mfumo wa mapenzi yenu, kama alivyokushauri mtoto wa kichaga, a.k.a miss chaga.
 
Back
Top Bottom