Nimenasa!

Nimenasa!

98abe4cac8802ed9db1d48971bf4e9ae.jpg

Akijileta namtibu tu acha hizo,kwani ye hamna macho na hagundui dalili kwamba sina malengo naye,wanawake wengine kuforce tu mapenzi kwa watu akishaguswa anaanza kulalamika
 
Tehe...za uso izo....😀
 
Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..

Unamfundisha Mtu MBINU za uzinzi na matumizi ya kondomu juu then unasema jitahidi kuacha uzinzi, wtf
 
Ukitaka kutibu tatizo si kulikemea sana ndo suluu.... tell people punguza kitu fulani wataelew tu kama alikuwa anafanya mara tatu atafanya mara mbil ataona nyingi atafanya mara moja mwisho wa siku anaacha kabisa.... bado nasisitiza tumia condom huku ukijitahidi kuacha uzinzi.
 
Njia salama.ni kuhama mkuu tofauti na hapo cjui kama.utanasuka kirahc
 
miminafanya kidogo il ahuyu anafanya sana... kwa hiyo kidogo kidogo mwishowe naacha kabisa kufaya uzinzi nianza kufanya tendo la ndoa

hahahaha! hongera kwa research yako,,,tena bora wewe unae onja-onja najua ukiipata radha yako utatulia hapohapo
 
Njia salama.ni kuhama mkuu tofauti na hapo cjui kama.utanasuka kirahc

Aaah wapi mpe makavu tu "it was just for one night"....lazima akuelewe,sio unasema hivyo kesho unabinjuka tena kugonga mlango wake....utalipa kodi vyumba viwili!
 
Naam mambo yapo simple bana unajua vjana wa sasa tunaogopa kuoa ila tunapenda totoz madhara yk unakua huridhiki hata ukioa kwan ushazoea leo na man utd kesho na simba jmos azam jumanne chelsea, mkikubaliana mambo yanaenda bana
Hahaha...kirahc rahc tu ivo....
 
Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..

Sex partiners ndio mpango mzima..
 
Aaah wapi mpe makavu tu "it was just for one night"....lazima akuelewe,sio unasema hivyo kesho unabinjuka tena kugonga mlango wake....utalipa kodi vyumba viwili!

Tehe tehe...wabasemaga za uso!
 
Naam mambo yapo simple bana unajua vjana wa sasa tunaogopa kuoa ila tunapenda totoz madhara yk unakua huridhiki hata ukioa kwan ushazoea leo na man utd kesho na simba jmos azam jumanne chelsea, mkikubaliana mambo yanaenda bana

U gat point in there kwa kwel..
 
Tatizo wabongo wamekariri kuwa mkisex ndio ticket ya kuoana... Nyingne Ni desire tuuu... After tht kila mtu ana maisha yake
sex ni kama starehe nyingne yeyote... na hapo watu tunatofautiana starehe mwingine pombe mwingine sex mwingine kushabikia ugomvi
 
Back
Top Bottom