inspector laddy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 761
- 258
Ushamchungulia unataka kumtema mwambie tu!
wasalaaam....
Baada ya mihangaiko yangu ya huku na kule nimenasa kwenye mtego ambapo kwa kweli nahitaji mawazo tofauti na yangu nijinasue.....
Najua kuna ambao watasema oooh ulijifanya mjanja u-play boy sasa sijui nini...i beg them to spare those shits kwa kweli.....by the way nataka nizeeke na full experience...
Nimetembea na dada ambae tunepanga nyumba moja...tena vyumba milango inaangaliana (walah niliapa kutokufanya hivo ila nilizidiwa ujanja)
basi siku hiyo aliniita tupige stori kwake...saa 3...mara 4..5..6..wakati nataka kurudi kwangu nikapumzike akashauri tulale wote tu haina shida..baada ya hapo you take a gues....
Uyu dada sina malengo nae it was just a crush!!!...kibaya dada wa watu kanielewa ile mbaya..anataka kila siku tulale wote kama sio kwake basi kwangu.....
To make it short nataka niachane nae for gud...ingawa najua kwake ni ngumu na hatamani kusikia hivo...na nimefanya ujinga coz nimekua kama nimeji-block sababu siwezi tena kuja na msichana akijua anaweza kuingia na mlango..tehe....
Sure...ganda gua lina siku zake za mwanzo mwanzo zile
umenasa eeenh!...jinasue tu mbona ipo easy tu si huna mpango nae? leta demu ghetto kama kawa akilianzisha unamchana tu "sina mpango na wewe"...haahaahah mchunguze kwanza uone je, ana njuguyugu?,,,kama anazo hama nyumba tu atakusumbua sana
Wasalaaam....
Baada ya mihangaiko yangu ya huku na kule nimenasa kwenye mtego ambapo kwa kweli nahitaji mawazo tofauti na yangu nijinasue.....
Najua kuna ambao watasema oooh ulijifanya mjanja u-play boy sasa sijui nini...I beg them to spare those shits kwa kweli.....by the way nataka nizeeke na full experience...
Nimetembea na dada ambae tunepanga nyumba moja...tena vyumba milango inaangaliana (walah niliapa kutokufanya hivo ila nilizidiwa ujanja)
Basi siku hiyo aliniita tupige stori kwake...saa 3...mara 4..5..6..wakati nataka kurudi kwangu nikapumzike akashauri tulale wote tu haina shida..baada ya hapo you take a gues....
Uyu dada sina malengo nae it was just a crush!!!...kibaya dada wa watu kanielewa ile mbaya..anataka kila siku tulale wote kama sio kwake basi kwangu.....
To make it short nataka niachane nae for gud...ingawa najua kwake ni ngumu na hatamani kusikia hivo...na nimefanya ujinga coz nimekua kama nimeji-block sababu siwezi tena kuja na msichana akijua anaweza kuingia na mlango..tehe....
Ushamchungulia unataka kumtema mwambie tu!
Na wakishaachana huyo bint umchukue wewe

we umeacha?
Miss chagga kumbuka mpango wa tuko wangap?Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..
Hehehe..eti umejiblock. kama ulimueleza ukweli sioni tatizo jembe..... we kamata ata baa medi peleka mtambulishe kuwa ndio mchumba wako. Unachoogopa sikione hapo. Unakula wote tu ili mradi ajue kabisa akimuona mwingine anaingina apige kimya kama hawezi achape lapa. usijiue na presha kijana mdogo hivyo.